kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza. Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anapenda kwenda mara kwa mara Chato na kukaa huko kuliko Ikulu?

    Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu. Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato. Chato...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yenye bei rahisi ya data

    "Bado nchi yetu ndio ina bei rahisi ya Data kwa GB kuliko nchi yoyote ya East Africa...SADC, kwa kuwa na gharama ya GB 0.71 kwa Dola ambayo ni sawasawa na shilingi 1600/=". Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - Dkt.Jabiri Kuwe Bakari #ITVUpdates
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ninavyofaidika na uzalishaji wa hizi bidhaa nilizojifunza mtaani kuliko Elimu yangu lakini tatizo ni kwamba ...

    Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  6. JamiiForums Tanzania Goli la kwanza ndiyo huwa tamu kuliko magoli yote kwenye sex hayo mengine huwa ni mbwembwe tu

    Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza? Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima. Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
  7. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  8. JamiiForums Tanzania Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi. Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz...
  9. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mende wanaopatikana kwenye Mazingira yetu ikiwemo chooni huzalisha maziwa yenye virutubisho vingi kuliko Maziwa ya ng'ombe

    Jamani kichwa kinajieleza. Kwanza ni kweli mende anazalisha maziwa? Mende hawa hawa tunaowaona chooni? Sasa maziwa yenye yanakaa wapi na wanakamuaje? Halafu eti inasemekana maziwa ya mende yanavirutubisho kuliko ya ng'ombe, si makubwa haya! Mende walivyo wachafu na wanavyoogopesha leo mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Binti yangu, ni Akheri uwe Single mother kuliko uishi na Mwanaume mpumbavu

    BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Baba na Mume. Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke mpumbavu, hata angekuwa Mama yenu, vivyohivyo nilimuambia Mama yenu kuwa kamwe asijevumilia kuishi na Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kukabidhi bandari tumemkufuru Mungu. Awezaye kuomba na aombe sasa maana ghadhabu ya Mungu ipo juu yetu

    Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa. Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Watu wabaya ni wengi kuliko watu wema?

    Mnamo 2005 Kevin Berthia alienda kwenye daraja la Golden Gate kukatisha maisha yake. Aliishia kuzungumzia maisha yake na afisa Kevin Briggs kwa dakika 92 akiwa pembezoni mwa daraja. Baada ya Miako 10 Berthia na Briggs wanakutana kwenye daraja hilo wakiwa na hali ya tofauti na mara ya kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA miaka yote wameweza kuwa na safu nzuri ya wataalamu kwenye hoja kuliko Serikali? Wanapataje wataalam wao?

    Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa. Lakini jambo la pili...
  15. JamiiForums Tanzania App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

    Wasalaam JF, Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…