Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anapenda kwenda mara kwa mara Chato na kukaa huko kuliko Ikulu?

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa?

97258C7E-3651-46A6-8D62-5A5EAE04AF5E.jpeg
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa? View attachment 2695414
Ata JK kipindi akiwa Rais,kila Jumamosi msululu wa magari ulikuwa unaelekea Msoga nyumbani kwake na anarudi Jumapilli jioni.Miaka hiyo nilikuwa naishi Tegeta!
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa? View attachment 2695414
Hiyo historia imeshapitwa na wakati.
Tugange yajayo.
Bandari.
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa? View attachment 2695414

Hamshindi majaliwa

Kwa ishu ya kurudi kwao,
 
Mtu kwenda kwao kuna ubaya gani?

Home sweet home.

Hujui tu raha ya kurudi bush ukapiga story na washkaji zako uliosoma nao na kukua nao.

Hasa ukienda una mafanikio kidogo heshima unayopata kutoka kwa wadau ni kubwa sana na ina impact kubwa sana kwenye akili/psychology ya mtu kuliko kitu chochote.

Home is so sweet.
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa?

View attachment 2695414
Yule alikuwa mshirikina
 
Baba Magufuli nyakati zile alikuwa kwanza anaugiza Dada na Mama, baadae Dada alifariki na Mama atabaki hana mtu wa karibu sana, baadae Magufuli nae kafariki na hivi sasa Mama yake bado yupo. Mungu mwema malipo ni hapa Duniani. Waluokebehi na waliodhihaki msibani lao laja. Mungu habagui
Huu ujumbe unafikirisha sana

Ngoja tusubiri kengere
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa?

View attachment 2695414
Lazima aende akalishe damu yale madubu yake.
 
Back
Top Bottom