kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu za waume wengi kufa mapema kuliko wake zao?

  2. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika. Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi...
  3. JamiiForums Tanzania Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo Uchunguzi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

    Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli. Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na...
  5. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza dakika chache baada ya kumaliza chuo: Kujilipua na Kujihatarisha (risk taking) kutakusaidia kutoboa mapema kuliko kusubiri utaratibu

    Niliingia first Year nikiona mwaka wa mwisho wote wanaijiwa na waajili wakaanze kazi. Siku namaliza hakuna hata hata mmoja aliyekuja. Hali ilikuwa imebadilika. Nilikuwa nimeshaapa sirudi nyumbani afe kipa afe beki. Plan B Niliandaa barua na CV kama 200 hivi. Za elimu zote, form 4, six, ya chuo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku...
  7. JamiiForums Tanzania Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea kubaya kuliko tulikotoka

    Habarini za Asubuhi poleni n Elnino! Sitaki kuongea mengi angalia Kibonzo cha HAKIELIMU. Utapafa Majibu
  9. JamiiForums Tanzania Makonda anafanya maonesho kuliko kazi

    Moderator hamjanitendea haki uzi wangu kwenda kuunganisha na uzi wa Makonda atakuwa Waziri/Rais. Mada yangu ni tofauti. Naomba niulize swali kabla sijasahau. Je, CCM, kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha? Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za nchini kwetu na kwa kiasi fulani, naona...
  10. JamiiForums Tanzania Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

    Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa. Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au.... Alitaka awe hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

    Nije kwenye mada. Nemeona kabisa mubashara jirani ana wivu wa kijinga sana. Cha kushangaza nde mwenye uwezo kifedha kuliko mimi ila anaonesha tamaa za ajabu. Ana magari manne mm nina moja tu. Nina moja kwa sababu nina priority zangu. Ningekuwa na magari hata 7 ningetaka. Kwa kifupi mungu...
  13. JamiiForums Tanzania Usomaji wa Biblia kila siku unaongeza IQ kuliko kusoma kitabu kingine duniani

    Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia. Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia. Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas. Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
  14. JamiiForums Tanzania Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIIIπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Karibuni wagawaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Gaza ni zaidi kuliko Mariupol na Bakhmut

    Katika mwaka huu 2023 dunia imeshuhudia vita vikali ambavyo historia haijawahi kuvishuhudia. Bomu la Hiroshima lilikuwa na moto mkali lakini ilikuwa ni wa mara moja halafu ikawa basi ni kuokota wahanga na majeruhi. Eneo la Mariupol ambalo Urusi ililiteka kutoka Ukraine ilichukua muda mrefu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Makonda anatukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko Serikali

    PAUL MAKONDA ANATUKUMBUSHA KUWA CCM NI KUBWA KULIKO SERIKALI Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Christian Makonda anafanya kazi nzuri sana ambayo kila mwana CCM na Mtanzania yeyote ambaye ni mpenda maendeleo anapaswa kuikubali. Makonda anatukumbusha kuwa Chama...
  17. JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

    Aliyekuwa Mbunge Wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Amemtoa kauli hiyo kwa Katibu mkuu wa itikadi na Uenezi CCM taifa Mh Paulo Makonda huko Jamhuri ya watu wa X.. Baada ya kudai kwamba ataenda bungeni kuomba na kuuliza kuhusu aina ya uenezi wanayotka awe nayo.. Lema Ameendelea kusema kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu kuongezeka kwa vizinga siku za karibuni kuliko miaka ya zamani?

    Ukijichanganya kutongoza Mwanamke yoyote tu, hapo utaanza kupigwa vizinga tena Kwa kulazimishwa utadhani anakudai. Hivi kwanini wanawake wamegeuka kua omba omba? Shida imekua nini? Hivi tunawezaje kupata Mwanamke wa kuoa kwenye kizazi hiki Cha omba omba? Juzi nimejaribu kutafuta wapenzi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…