Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt.
Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake.
Kimsingi huyu bwana...
WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo.
Dhana potofu kama;
1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume.
Ukweli ni kuwa wanaume...
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo.
Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu:
👇
Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku.
Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
Nauliza tu maana nimetoka kula Chips za home lakini ukilinganisha na zile ambazo zinakuja kwenye foil na mitaani zinakuwaga tamu balaa na hata mpishi mwenyewe aliyepika anasema kabisa zile za mtaani zinakuwa bomba sana
Nimekula Chips za Nyumbani na nimekula Chips za vibandani lakini mara nyingi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina...
Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.
Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka.
Maduka na...
VIDEO:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu utawala wa kisheria na mamlaka ya serikali nchini Tanzania huku akitoa onyo kwa wale wanaofikiri kuwa wanaweza kuwa juu ya sheria.Akizungumza na waendesha bodaboda, bajaji, na machinga mkoani Dar es...
Mi nikiona mtu mwanaume mwenzangu ana lalamika kuwa wenye pesa wamemchukua au kadanganywa na mali.
Kichwa cha habari kishajieleza hapo juu.
Wanawake wengi wamejificha kwenye bei ya kujiuza kama bidhaa zilizopo sokoni na madukani.
Bora wale wengine wanakwambia kabisa bei ili ushindwe wewe au...
1) one in a milion- Aaliyah
2) tease me- chaka demus and plies
3)send it on - D' Angelo
4) hallo-Beyonce
5)shawty- plies
6)Lollipop- lil' wayne
7) yako wapi mapenzi- rubby
8) masogange- belle 9
9) fu-gee-la- fugees
10) let me hold you- bow wow ft omarion
11) if you realy wanna know- mac dosley...
Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona...
Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu.
Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV).
Pia, virusi hivi vinaweza...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.