Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani.
Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani.
Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa
Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso.
Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele?
Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake?
Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
Anaendelea kusema:
"Ninaendelea kusema kwamba ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi.
Messi alikulia katika timu anayochezea, pamoja na wachezaji wenzake anaocheza nao.
Cristiano alitoka Uingereza hadi kwenye timu iliyokuwa ikifeli. Ilimbidi akue katika miaka 2 ili wakati timu ikiwa...
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
Niaje waungwana.
Kama kawaida, leo nimekuja kutoa somo kamili kwa wale wayahudi uchwara wa Tandale kwa Mtogole, wasiojua nguvu halisi ya Iran katika miaka iliyopita, iliyopo na ijayo.
Bila kuongelea kuhusu dola la Iran (Persia Empire) ambayo ilitawala eneo zima la Mashariki ya kati kabla hata...
The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao...
Moja ya alama ya mtu yoyote aliyesoma na kuelimika ni uongeaji wake. Hata mtu ambaye hajasoma shule sana ila ni msomaji wa vitabu, ni rahisi kumtambua. Kuanzia upangaji wake wa maneno, akiwa anatoa mawazo yake, nk.
Mwigulu sijawahi kumkubali kwa sababu toka nimeanza kumsikiliza day 1, naona ni...
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.
Mambo ya kuhesabu kura...
Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo.
Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
My people,
Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani:
Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa
Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...
Mpaka wakamuamini akaaamua asome biblia kinyume nyume.
Alieleta hii idea huko kijani nadhani atakua yupo kizuizini chini ya jenerali fweleboy mana mchongo umebuma vibaya mno.
Ni huzuni
Ila huyu dada noma kuna rivasi kanipigia hapo Corinthians 13 mpaka 10
Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili.
Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala.
Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono.
Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
Mwaka uliopita,
Watu walitekwa
Waliteswa
Walipotezwa
Walinyanyaswa
Waliuawa
Walitishwa
Walidhalilishwa
Walichekwa
Walikosa na kupoteza matumaini
Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura
Nchi ilinajisiwa kiasi cha sifa yake kutoweka
Ni mwaka wa mikosi na mateso hakuna mfano
Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.