kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  3. Vien

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  6. Godoro la kioo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikifika Hatua kama hii ujue Tatizo ni kubwa kuliko kawaida

  7. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

    Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angejua anamtuma Nchimbi kwenda kuongea na yakwake ambayo ni mazito kuliko yake hasingemtuma

    " Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU" Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi Kusema ukweli Nchimbi...
  10. Marashaaa95

    JamiiForums Tanzania Master Jay akubali P Funk majani ni bora kuliko yeye

    Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakongo wanambananga na Kumbagaza Samia Suluhu. Eti anapenda pesa kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini?

    Wakongo wanamsema vibaya Samia Suluhu Hassan Wanadai anapenda hela sana kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini? Wanadai anaweza kuuza hata damu ya watoto wake.. Je, ni kweli Samia Suluhu Hassan ana roho mbaya kiasi hivi? Nahisi wakongo wanatumiwa na Mabeberu
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Gary Neville aiambia Man United iajiri kocha mpya mwenye uzoefu kuliko Michael Carrick

    Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead. Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
  13. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume alieoa anapata tendo la ndoa kwa shida kuliko ambaye hajaoa

    Wengi wanaamini wanapoteza ela kununua wanaamini wakioa watapata tendo la ndoa kwa urahisi bila longolongo ila kumbe walijidanganya/walidanganywa. Ukioa unapewa kwa kipimo mda mwingine inapita wiki mpaka mwezi bila kugusa iyo mbususu Na wakipewa wanapewa kishingo upande bila ushirikiano wowote...
  14. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kuwa mwanamke ni shida sana kuliko kuwa mwanamke yeye na hospitali ni pete na chanda.

    wanawake wanapitia magumu sana haswa wakianza kuvunja ungo. Hapo ndo shida rasmi zinaanza ule usumbufu wa kuingia period kila mwezi na wengine period zao zinaingia na maumivu pamoja na kutokwa na damu nyingi inapelekea kupata shida ya damu mfumo wa homoni usipokaa sawa kidogo tu matatizo...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Madikteta wako efficient kwenye kuendesha uchumi kuliko viongozi wa kidemokrasia

    Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi. Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda angekuepo hayati Chacha Zakayo Wangwe Chadema kingekua chama cha siasa cha kizalendo kuliko hivi kilivyo sasa kimesheheni vibaraka na mamaluki.

    Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania kwa maslahi ya hao mabwenyenye ya magaharibi wanaowafadhili chadema na kuwafadhili...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Android inauza simu mara 4 zaidi kuliko Apple kila mwaka, lakini Apple inaongoza kwa mapato

    Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola 1,060 sawa na Tsh. 2.756 Milioni, ikilinganishwa na dola 370 sawa na Tsh 962,000 kwa simu za Android...
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Airport ya Arusha ni local sana kuliko uhalisia wa jiji lenyewe

    Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi. Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
Back
Top Bottom