Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba.

Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba.

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
12,233
Reaction score
20,532
Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu.

Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu.
Screenshot_20260707_062524.jpg


Nakukumbusha vaa Condom.
 
Hapa nimepiga konyagiiii ndogo moja nipo BIA ya TATU.

Huku mvua imekata " si unajua home alone" nipo naangalia TBC taifaa😁
Nimetoka kuangalia gemu ya Ubelgiji na USA, Lukaku aliposhindilia goli la 4 dakika za nyonyeza 4+ bado dakika 1 mpira uishe nikazima TV, sasa huku vua limeamua halafu kuna kibaridi cha kwenda
 
Back
Top Bottom