kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vinapiganwa nyumbani lakini Mfalme Abdullah aenda kulia Washington ili visimamishwe bila kurusha hata ngumi moja

    Kila vita vya Gaza vinavyokuwa vikali na kuzidi kuangamiza watu na unafiki wa nchi nyingi duniani unazidi kudhihirika. Sauti za kutetea zimekuwa zikisikika sana kutoka Ulaya na Marekani ijapokuwa zina lengo la kuvuta muda Israel afanye anavyotaka bila kuzuiwa. Unafiki unaosikitisha zaidi ni...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Ujerumani awekwa chini ya uangalizi kwa kujihusisha na Siasa za mrengo wa kulia

    Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali. Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Akiondolewa kwenye cheo hicho ataanza kulia lia tena na kwenda hata kwa viongozi wa dini kumwombea!

    Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Makonda umewezaje kulia kwa mama aliyepotelewa na mume ila kwa wazazi wa Ben Saanane ukiwa RC wa DAR hukulia?

    Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa. Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wabongo wamchamba kweupeeee Irene Uwoya ,wamwambia aache kulia kinafki yeye ndiye alisababosha Ndikumana afe

    Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya Ndikumana kufariki. Ndikumana na Irene walifunga ndoa mwaka 2009 na kubatika kupata mtoto mmoja wa kiume...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wakipiga magoti na kulia mbele zetu tuwahurumie?

    Team, Salaam! Nimeona video moja ya Naibu Waziri anayehudumia akitokea mkoa wa Kagera akiwa ktk mkutano amepiga magoti na kuanza kutoa hotuba huku akilia machozi kama mtoto mdogo. Sasa nachouliza kwa Naibu Waziri huyu mpaka anapiga magoti mbele ya umma wa watu waliohudhuria mkutano wake kuna...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?

    Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
  10. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  11. Mnyakyusa Ipinda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
  12. VanDon

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga leo kuna kulia na kucheka au kucheka na kulia

    Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
  13. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Uislamu Siyo Kilema, Waislamu acheni kulia lia Tunapowakosoa

    Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Niger: Aanza kulia kama mtoto baada ya kuambiwa atapigwa risasi asiposema pesa za ufisadi zilipo

  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa cha bure kwa mkono wa kulia piga jicho mkono wake wa kushoto

    Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani. Kama ukiona deal lao ni zuri sana...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ashindwa kuvunja Rekodi ya Kulia kwa Saa 100, aishia saa 6

    Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42. Ash
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023. === UPDATE; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
Back
Top Bottom