kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi tunapaswa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa au kulia kwa uchungu?

    Kumekuwa na utamaduni wa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa kwa kila namna na kila utaratibu je hii ni sahihi au tulipaswa tusikitike na kulia kwa uchungu maana siku zako za kuishi dunia zinaisha au hii ikoje wajuzi wa mambo mje hapa
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Leo nimeota nacheza Mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Hii ina maana gani?

    Habarini wakuu, Leo nimeota ndoto ya ajabu, naiita ya ajabu kwasababu ni mambo ambayo sipendi kuyafanya kwasasa japo nilikua nikifanya zamani. Nimeota nacheza mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Japo mara ya mwisho kucheza mpira ni miaka kumi iliyopita. Ndoto ilianza hivi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tsar Alexander III aliweza kukunja mafundo kwenye uma wa kulia chakula

    Alikua na nguvu za ziada. Aliweza kuchana rundo la ma gazeti kwa wakati mmoja. Siku moja wakiwa mezani wanakula chakula, Balozi wa Austria alisema wakifanya was fujo na Urusi watatuma vikosi viwili tu vya jeshi kuinyosha Urusi, Alexander Alikunja fundo kwenye uma na kumwambia hiki ndicho...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Tanzania wafukua Kaburi la Albino na Kutokomea na Mguu Mmoja wa Kulia

    Majirani mtaacha lini haya mambo, halafu dunia yote yapo kwenu tu, nyie pekee yenu ndio wenye sifa hizi za kusaka viungo vya albino. ========= Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino, Heri Kijangwa (45)...
  6. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Shomari Kapombe vs Juma Shabani -- nani ni zaidi mbavu ya kulia NBC PL?

    Kukaba Nampa shomary 75 Nampa Juma. 45 Driblling Shomary. 69 Juma. 75 Cross Shomary. 80 Juma. .78 Kupanda /kushambulia Shomary. 75 Juma 80 Balance(kupanda na kurudi) Shomary. 90 Juma. 35 Kufunga Shomary 60 Juma. 40 Speed Shomary. 60 Juma 80...
  7. MWANDENDEULE

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo, na tiba ya shingo ya kuku kupinda kuelekea kishoto au kulia kusiko kawaida?

    Huu ugonjwa unaopelekea kuku kupinda shingo kuelekea kushoto au kulia husababishwa na nini? Pia nini tiba yake?
  8. Joanah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

    Hey people Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress) Niko na mood hii sasa hivi.... Sijisikii kula lakini natamani kula Natamani kulala lakini sina usingizi Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Watuongezee option ya kulia katika miamala!

    Toa 100000 kwa tozo ya shilingi 10000.. bonyeza 1.kuthibitisha 2.kusitisha 3.Lia. Ikibidi namba nne watuwekee 4.fumba macho kuthibitisha 5.tuma na yakutolea au tukate juu kwa juu.😂
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

    Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
  11. 2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume anaacha au anaachwa? Mwanaume kweli unaanzaje kulia kwa kuachwa?

    Kwanza kabisa tuwasikitikie vijana wote wanaodai ni wanaume huku wakilia kuachwa. Inavyojulikana mwanaume haachwi bali anaacha au wanaachana na mke wake. Kwanini mwanaume hawezi kuachwa? Kwa sababu yeye ndio kichwa cha familia, uliwahi kuona tela likiacha kichwa nyuma? Hapana. Tafsiri ya...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nataka niongeze tattoo mkono wa kulia

    NAtaka kuchora tattoo mkono wa kulia ili kuendana na hiyo ya kushoto, napokea ushauri
  13. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo haya

    1) Ukikaaa kwa dakika 15 bila kutikisika lazima ulale.. 2) Mara nyingi mtu anapolia hukumbuka matukio ya nyuma ndio yanamuongezea kilio. 3) Kwa sekunde 3 baada ya kuamka kutoka usingizini binadamu huwa hakumbuki jambo lolote. 4) Watu wenye aibu ndio watu wenye akili zaidi na waaminifu...
Back
Top Bottom