kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Endeleeni Kuimba Mitano Tena, Lakini Mtaishia Kulia na Kusaga Meno

    Hivi mmepatwa na nini ndugu zangu Watanzania? Uendeshaji ulio feli wa CCM unaosababisha nchi kuingia madeni makubwa na kuathiri tija kwa taifa hadi nchi kutegemea kuchimbiwa vyoo na nchi wahisani, kutegemea vyandarua vya bure ili kuwakinga na malaria wake zetu wenye mimba nk huku tunaendelea...
  4. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mtoto kulia sana usiku

    Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima. Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu...
  6. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbukiwa na maumivu ya upande wa kulia wa kifua na mbavu

    Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na ujumbe huu upotezee usije kulia

    Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993 Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu msiwapigie, ni waongo na wezi usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK ...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaojua Mpira nielewesheni, kwa nini Balua anapangwa kulia?

    Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa) Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba. Au ndiyo Mpira wa kisasa?
  10. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

    Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini? Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa na machozi utakuwa na tatizo la akili

    Mtaalamu wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa machozi utakuwa na tatizo kubwa la akili, jitahidini mlie tafadhali. Pia soma: Ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili nchini; Je, jamii ina elimu ya kutosha juu ya namna ya kukabiliana na janga hili? Kama ni Kulia tu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Simba imemsajili beki wa kulia Kevin Kijiri basi sitowakosoa tena msimu huu na nitaiunga mkono timu 100%

    Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri. Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not. Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja. Huyu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume anayepigwa tukio anakuja kulia lia humu. Huu uchuro!

    Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6. Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani, ambavyo vingine ni vya kubumba. Kwa utafiti wangu rasmi, mwanamke anayepakwa matope humu JF ni...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunasinzia upande wa kulia pekee

    Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo.
  15. haszu

    JamiiForums Tanzania Wanaume msiogope kulia, msibanie machozi

    Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji: Hans Poppe alinipa wakati Mgumu sana enzi za uongozi wangu

    “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana. “Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu...
  17. Half american

    JamiiForums Tanzania Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    “Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania” Fiston...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv. Huyu dada ni singo mama... Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia.. Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni burudani katika maisha, burudika nazo badala ya kulialia ovyo

    Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni wajibu wako kufanya hiyo ili maua yakue na kustawi. Changamoto ni burudani kama zilivyo burudani ni...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
Back
Top Bottom