Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,192
- 10,928
Kila vita vya Gaza vinavyokuwa vikali na kuzidi kuangamiza watu na unafiki wa nchi nyingi duniani unazidi kudhihirika.
Sauti za kutetea zimekuwa zikisikika sana kutoka Ulaya na Marekani ijapokuwa zina lengo la kuvuta muda Israel afanye anavyotaka bila kuzuiwa.
Unafiki unaosikitisha zaidi ni ule wa nchi za kiarabu jirani na Gaza hasa Jordan na Misri. Wakati wana uwezo wa kuzuia ukatili huo tena unaofanywa kwa ndugu zao, wao ama wamekaa kimya au wamekuwa wakifanya vitu vya kichekesho vinavyokaribia vya kishoga.
Mfalme Abdallah muda kama huu ametoka maelfu ya kilomita kwenda Ikulu ya Marekani yeye na familia yake kuomba Israel isitishe vita na wasipige Rafah.