Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?

Vivyo hivyo hata akiumwa ni marufuku kumchangia damu maana atapata unajisi si ndiyo?.

Au vipi muache njaa imnyooshe uone kama hatokula huyo mnyama

Waliotunga hizi dini walikuwa vilaza sana, yaan Huyo Mungu wa rehema aumbe wanyama then awawekee unajisi?.

Kula chochote isipokuwa binadamu tu, cha msingi huvunji sheria za nchi.
 
Dini zinahimiza usiwe na akili, usihoji, usiulize, usitafakari kwamba ukifanya hayo unamkufuru Mungu. Mungu anataka wewe uamini tu chochote cha kitaahira alichokisema, ukikihoji unamkufuru.

Sasa watu wanaishi kwa vitisho hivyo ili wasimkufuru huyo mungu ili awape uzima wa milele 😂.
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Vikioshwa vizuri havina shida kwakuwa haramu ni nyama sio chombo. Na akiwa mazingira ambayo hakuna option nyingine ya chakula anaruhusiwa kula ili asife njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Waislam wanaichukia nguruwe ila sio chombo, wakristo hadi chombo kinatupwa

Ukisoma katika MAMBO YA WALAWI 11:1-8, Biblia inasema:-" BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi. Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, wenye miguu ya kupasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala. Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika hao walio na kwato ; ngamia, kwa sababu hucheua lakini hana kwato , yeye ni najisi kwenu. Na wibari , kwa sababu yeye hucheua lakini yeye hana kwato , yeye ni najisi kwenu. Na sungura , kwa sababu hucheua, lakini hana kwato , yeye ni najisi kwenu. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu".
 
Kutokula kitu ni imani tu na ni kosa kuingilia imani za watu. Kama wewe unatumia Nguruwe na hao ndg zako hawatumia ni vyema uwatengee vyombo vyao vya kutumia kuanzia sufuria, sahani, vibakuli na vifaa vya kuoshea kama beseni, sabuni n.k.
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Kuna tatizo gani, kwani Mungu aliwakataza lini kutokula kitimoto? Kuna vitu vingine ni vya kipuuzi tu, ushawahi kusikia mtu kafa kwa kula kitimoto kisa Mungu kakataza? Upuuzi mwingi kwenye hivi vitabu vimetungwa na wanadamu na wala si Mungu, kabla ya Waarab na wazungu kutuletea hizi dini zao za michongo, mbona tulikuwa tunakula nguruwe bila hata madhara yeyote? Tusipende kuiga vitu vya kipuuzi, kama una hamu ya kula kitimoto kula tu.
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Katika dharula wanaruhisiwa pia kula. Hiyo no dharula
 
Waswahili kwa mbwembwe!!

Niliwahi kuwa mwanamke wa kiislamu ikawa kila ikifika mfungo ananinyima maQu, lakini kila tukiwasiliana (kuchati) ananambia anasubiri mfungo umalizike ili nikamuweke.

Ramadhan moja nikamkazia, mbona alitoa. Dini tumeletewa na waarabu na wazungu lakini tunavyozishupalia ova za kwetu ........ mbwembwe nyingiiiiiii...bure kbs!
 
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam

Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Kuna siku Mungu alikushukia na kukuambia kula nguruwe ni dhambi au haram? Wacha kuiga vitu vya kipuuzi toka kwa watu, nguruwe hana uharam wowote ule, sema tu Mohammed alikuwa na wivu kuona waru wanakula vitu vinono. Ulishawahi sikia binadamu kafa kwa kula nguruwe?
 
Back
Top Bottom