Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze

Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake.

Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje

Anakaba,anapunguza anapiga kanzu,matobo na kutoa assists kama zote

Na kama Hilo halitoshi anadeliver more than what is needed of him

Anascore,tena goli zuri la kiwango cha FIFA,

Ana assists 3 na goli moja alilolifunga dhidi ya JKT Tanzania

Nishawaambiwa hizi namba zinareflect matokea yajayo ya Yanga kimataifa.

Screenshot_20231009-212656~2.png

#Mpira bila mbeleko inawezekana
 
Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.

1. Chama na Haruna NYONZIMA.❌

2. Chama na Saido.❌

3. Chama na Fei toto.❌

4. Chama na Azizi ki.❌

5. Chama na zoazoa.❌

6. Chama na Max❌
 
Kumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?
 
1.Kapombe na JUMA Abdul ❌

2. Kapombe na JUMA Shaban. ❌

3. Kapombe na Kibwana shomary❌

4.Kapombe na islael mwenda.❌

5. Kapombe na Duchu❌

6. Saizi wapo kapombe na yao❌
 
Kumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?

USIWE na haraka ya kutenda jambo bila kufikiri kwa marefu na Mapana.
UKIONA Lina faida lifnye.

UKIONA lina hasara liache.

UKIONA halieleweki uliza kwa wenye akili

USHAURI WANGU KWAKO NI HUO TU.
 
Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze

Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake

Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje

Anakaba,anapunguza anapiga kanzu,matobo na kutoa assists kama zote

Na kama Hilo halitoshi anadeliver more than what is needed of him

Anascore,tena goli zuri la kiwango cha FIFA,

Ana assists 3 na goli moja alilolifunga dhidi ya JKT Tanzania

Nishawaambiwa hizi namba zinareflect matokea yajayo ya Yanga kimataifa,
View attachment 2777161View attachment 2777161
#Mpira bila mbeleko inawezekana
Physics yenyewe ULIIKIMBIA mwehu ww
 
Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.

1. Chama na Haruna NYONZIMA.❌

2. Chama na Saido.❌

3. Chama na Fei toto.❌

4. Chama na Azizi ki.❌

5. Chama na zoazoa.❌

6. Chama na Max❌
Hapa tunamuongelea Yao Yao Jeshi,sasa huyo mchezaji wako kaingiaje!?
 
Kumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?
Aahaaaaa,Asante Kwa kumnyoosha huyo mharibu nyuzi za watu
 
Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze

Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake.

Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje

Anakaba,anapunguza anapiga kanzu,matobo na kutoa assists kama zote

Na kama Hilo halitoshi anadeliver more than what is needed of him

Anascore,tena goli zuri la kiwango cha FIFA,

Ana assists 3 na goli moja alilolifunga dhidi ya JKT Tanzania

Nishawaambiwa hizi namba zinareflect matokea yajayo ya Yanga kimataifa.

View attachment 2777161
#Mpira bila mbeleko inawezekana
Yao kitu ganii kwanza. Unampa Sifa nyiiiingi kuliko hata assist zenyewe. Halafu viassist vyenyewe vitatu tu unafungua uzi, zipo sawa sawa kweli?
 
Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.

1. Chama na Haruna NYONZIMA.

2. Chama na Saido.

3. Chama na Fei toto.

4. Chama na Azizi ki.

5. Chama na zoazoa.

6. Chama na Max
Wewe ndio kila siku unataka JF ibadilike wakati wewe mwenyewe 'hujitambui'.

Kama unashindwa ku discuss mada husika ndio JF itabadilika.

Mbaya zaidi unajikuta smart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom