kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  4. M

    JamiiForums Tanzania Said Issa Mohammed: Heche tuheshimiane, siwezi kula nguruwe mimi

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
  5. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

    Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu. Muhtasari wa tukio Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA)...
  6. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  7. JamiiForums Tanzania Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena. Tuache unafiki hakuna...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume anayejielewa hawezi kula mbususu ya elfu 5

    Asilimia kubwa ya demu anayegawa uroda kwa elfu 5 kushuka chini uyo mbususu yake aitunzi vizuri ,ni lahisi kukuta mbususu inanuka,lahisi kupata magonjwa ya zinaa gono uti sugu Lakini kula mbususu kuanzia elfu 50 uyu ni nadra sana kukuta haijali mbususu yake kwanza ata hicho kifuniko cha asali...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

    Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
  10. JamiiForums Tanzania Usiwashe cheche bila kula

  11. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  13. JamiiForums Tanzania Kula chumaa hioo

    MUONGOZO WA CHAKULA, KATIKA KUIMARISHA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME 2026 📌ASUBUHI ✅Chai - iwe ya viungo vya Asili pekee • Tangawizi, iliki, karafuu, mdalasini au mchaichai ✅VitaFunwa • Viazi, Mihogo, Magimbi, Ndizi (chemsha tu) • Mayai, mbogamboga ✅Matunda - Aina yoyote ❌ Kama Hakuna Ulazima...
  14. JamiiForums Tanzania Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  15. JamiiForums Tanzania Wakatoliki washindwa kula mbuzi katoliki

    Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana. Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzangu amerudi kula sikuu analalamika ndugu zake kumkomalia kwa nini haoi.Amesema mwaka huu haendi.

    Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo. Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu. Kwa nini hauoi na una miaka 47. Jamaa kachukia sana. Leo kafikia kwangu toka Safari na kibegi chake cha mgongoni. Kaanza...
  17. JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  18. JamiiForums Tanzania Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ICC itamfungulia mashtaka Samia, tujiandae kufunga na kuzira kula kwa ajili yake hata ikibidi kufa

    Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa. Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kwamba huko usabatoni kucheza,kusuka,Hereni kula kamongo ni dhambi? Je na kukemea watekaji ni dhambi pia?

    Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi? Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani? Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu. Kwanini mpo tiyari kuchangisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…