Wakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa).
Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni.
Mandizi...
Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini?
Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada.
Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina
Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Siku pekee ambazo sina...
Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo.
Maana katika maandiko...
Wakuu, kwema humu?
Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu wanywe na kula hata kwa mwaka mzima. Leo nikasema ngoja nirudi nichungulie nyumbani kukoje? Duh...
Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari.
Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai huko nchini India, alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42.
Marafiki wawili waliweka...
Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Za kwenu wakuu?
Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu.
Is there any idea...
Wadau salama?
Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje?
Asanteni.
Anorexia Nervosa Ni Nini?
Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi.
Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto.
Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo.
Hali inayonifanya hata...
Ulaji upo!
Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha;
Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala?
Ukijibu hilo litafuata swali la mwisho, kipi kitamu, chakula cha vipofu au chakula cha waliolala?
Majibu...
Salaam!
Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.
Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.
1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri.
2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania:
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3. Wasafwa
4. Wajita
5. Wahaya
6. Waha
7. Wajaluo
8. Wakurya
9. Wangoni
10. Wagogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.