kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

    Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
  2. Yofav

    JamiiForums Tanzania Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

    Habarini wakuu, Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku...
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

    Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo? Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
  4. Tindikali

    JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kamati za kudumu za Bunge kukutana kuanzia Oktoba 10-30, 2022 Jijini Dodoma

    Kamati nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 10 hadi 30 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  6. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu sana kukutana na mtu mtakaependana kwa kiwango sawa?

    Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

    Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

    Wakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE. Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

    Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA. Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe. Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
  11. MONEY 255

    JamiiForums Tanzania Namanage Account za Forex

    Habari Wana jamii forums Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa. Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna yoyote ya kukutana au kuwasiliana na mchawi au mganga proffesional

    Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
  13. Thabit Karim

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu Nyongeza ya Mishahara: Serikali Kukutana na TUCTA 26/07/2022

    Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hivi: Ndugu wafanyakazi, Jumanne tarehe 26 Julai, 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA)...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Kenyatta kupewa semina kabla ya kukutana na mama.

    Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu linganisha na ule wa Uhuru Uhuru next time jitahidi brother.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagame, Tshisekedi kukutana kuzungumza tofauti za Rwanda na DRC

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya mataifa hayo. Haijawekwa wazi watakachozungumza katika mkutano huo utafanyika Jijini Luanda lakini...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

    Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu. Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na...
  18. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Waziri kukutana na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Bara.

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kukutana, Naona haja ya kufuata Katiba

    Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa. Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana. Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa. Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo. Kwenye nchi...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Samia, Museveni kukutana, sasa Tanzania kuanza kununua sukari kutoka Uganda

    Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu. Rais Samia Suluhu, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku mbili Nchini Uganda alikubaliana na mwenyeji wake Rais Yoweri...
Back
Top Bottom