kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM ruksa kukutana, Wapinzani mwiko kukutana; Tunalibomoa Taifa

    Wapo watu wanaona wao ndio walizaliwa kuzungumza,kutafakari sahihi na kuamua kwa ajili ya wengine. Wapo watu wameaminishwa kwamba wanaishi hapa Duniani kupumbuza wengine ili wao na familia zao warithishane madara. Zipo familia Leo baba,mama,watoto wanatumia usafiri wa serikali,wanalipiwa nyumba...
  2. Mindi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  3. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  4. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania NGO's zaomba kukutana na Rais Samia

    NGO's zaomba kukutana na Rais Samia Mashirikaka yasiyo ya kiserikali Kanda ya ziwa yameomba kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. Samia Suluhu Hassan ili kueleza kero na changamoto zinazowakabili. Miongoni mwa changamoto ambazo masharika hayo yameeleza ni zile zinazochangia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma kesho Jumanne Juni 22, 2021

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM inatarajia kukutana kesho Jumanne Juni 22, 2021 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Jakaya Convention Centre Jijini Dodoma. Kikao hicho kimetanguliwa na kikao cha Secretariet ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza. Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani? Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini? Hizo ni drama za kufikirika...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
  8. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

    Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ningemwambia haya Rais Samia endapo ningepata nafasi ya kukutana naye

    Ningemsalimia kwa unyenyekevu mkubwa na kumshukuru kwa nafasi ya kukutana naye! Ningemwambia kuhusiana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi katika taifa letu! Ningetoa mapendekezo yangu kuwa sekta ya kilimo itazamwe upya kwa jicho la tatu kama mkombozi wa changamoto hiyo! Kuwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sukumeni agenda yenu ya kukutana na Rais Samia

    Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her. Na wala hamuendi kujikomba kwake, kujipendekeza, ni kuona kama kunaweza kuwa na mwanzo mpya.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

    Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kukutana na mtoto wa kishua...

    Basi bwana kwa vile nilikuwa na chat chat naye mtandaoni na kutumiana ma picha ya mahaba kwa muda mrefu basi nikaona itabidi nionane naye mtoto wa kishua, sikubali aiseee, toto rangi ya chungwa, ziwa saa sita unusu, toto slim fit, figure number 8, toto macho yanaitaa, kiuno cha nge nyuma...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

    Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao. Natanguliza shukrani.
  15. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Ulaya: Je, timu za EPL kukutana fainali?

    Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Barua yenu kwa Spika Ndugai imeitwa 'Kipeperushi' mkienda kukutana na Rais Samia angalieni tu asiwaite 'Wapuuzi' pia

    Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa Serikali au kwa Chama Tawala ( CCM ) Ushauri wangu tu Kwenu Marafiki zangu wa 'Kidemokrasia' nchini...
  17. homeless1

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu na wapenda kandanda Africa baada ya kuisha hatua ya Makundi ya michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho Africa Kuelekea kupangwa kwa droo ya robo fainali kaa nami upate live updates ujue nani kakutana na nani na mechi zitachezwa kuanzia lini...
  18. Gan star

    JamiiForums Tanzania Sakata la Anerlisa na Ben Pol: Anerlisa atishia kumburuza Ben Pol Mahakamani, Ben Pol aomba kukutana na Familia

    Mwanadada na mfanya biashara Anerlisa , ametishia kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa mume wake, Ben Pol kutokana na madai kuwa amekuwa akimchafua kwenye mitandao ya kijamii. Anerlisa amepanga kumfikisha mahakamani mwimbaji huyo iwapo ataendelea kumtaja au kumhusisha kwenye mazungumzo yake...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

    Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa. Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu...
  20. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye. https://www.jamiiforums.com/threads/hotuba-ya-mwenyekiti-wa-chadema-freeman-mbowe-aliyoitoa-jana-aprili-11-2021.1858436/ Naomba kuwapa taarifa...
Back
Top Bottom