Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
406
456
Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu.

Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema.

Sasa swali ni kwa upande wa pili yaani kwa wanawake. Je ukigundua kuwa mwanaume uliyenaye hajawahi kufanya mapenzi unachukuliaje? Utafurahia Jambo hilo ama itakuwa ni kinyume chake?

Hebu njooni wadada mtupe majibu tafadhali.
 
Bila Shaka ataonekana mshamba TU.

% kubwa wanawake hawanaga MDA wa kumfundisha mwanaume mapenz, anakuangalia TU unaenda na move gani ili na yeye aonyeshe makali yake wote mwende sawa.

Sasa mwanaume amarture ukianza kushangaza shangaa ulingoni, na yeye anakushangaa pia.
 
Baada ya kubalehe , siku ya kwanza nimekubaliwa kupewa makku nokawa sijui vizuri nichomekeje pale ukijumlisha na uoga uoga unaosababishwa-ga na aibu nilikula boonge moja la tusi
 
Back
Top Bottom