kuku wa kienyeji

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hata kuku (majogoo) yanapenda mitetea minene iliyojazia

    Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu. Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo. Jogoo hupenda kutembea na majike (makoo) manene ya kuku ni nadra sana kumkuta jogoo kaambatana na kimbau mbau kisichokuwa na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kuku wa kienyeji kama wale wa KFC?

    Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji. Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu...
  3. Jr Simeo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa. Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
  4. MKAMA SIMON

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari wakuu naomba mwenye viranga vya kuku wa kienyeji anaeuza tuwasiliane ,niko Mwanza.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
  6. Manchid

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000 Baada ya majaribio kadhaa ya kufuga hawa kuku sasa rasmi nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji...
  7. thisisboman1

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  8. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Kienyeji wanauzwa

    Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani. Moja kwa moja kwenye mada. Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji. Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/- Kuku Hawa Ni...
  9. Brox

    JamiiForums Tanzania Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

    Habar wakuu. Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
  10. Chui mnyama

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa kienyeji mkoani Lindi

    Habarini wakuu wa JamiiForums Nimekuja katika jukwaa hili kuleta fursa yangu ya kuku. Nimefanikiwa kufuga kuku wengi sana sasa kama mnavyojua baada ya kufanikiiwa katika hatua ya kwanza sasa nataka kusafisha banda kwani kuku nilionao naona wamefikia idadi ya Malengo yangu. Kwa wale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji matetea ya kuku wa kienyeji (pure) niko Dar

    Wadau! Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam. Aliyenao naomba anicheck PM.
  12. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  13. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwachanganya kuku chotara na kuku wa kienyeji?

    Habari wadau? Naomba kuuliza, je, inawezekana kuwafuga kuku chotara na kuku wa kienyeji kwa kuwachanganya katika banda moja? Yaani, unakuwa na banda moja la kuku hao (kienyeji + chotara) ila unawafuga kienyeji wote kwa kuwafungulia nje ndani ya fensi lakini, na jioni unawafungia ndani (Ufugaji...
  15. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler. Mijini hakuna anaye uliza hilo ni la nini na pia mijini demand ya mayai ni kubwa sana kwenye matumizi ya kawaida na...
  16. Mwalimu interprises

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  17. Indoraptor

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  18. Rogart Ngaillo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika katika ufugaji kuku wa kienyeji na bustani

    Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu! Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni. Mfano: ■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
  19. Cisco_G

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

    Habari wanaJf. Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia. Kwa anaye hitaji au mwenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Habarini za muda huu wana Jf Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar...
Back
Top Bottom