Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini.
Asanteni
Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
Habari za usiku huu wadau.
Baada ya kupata taabu ya kutafuta kuku wa kienyeji wa kula, sasa nimeua rasmi nianze ufugaji mwenyewe. Nimejaribu kuangalia sokoni, utakuta kuku wa elf 17 ni mdogo sana hatoshi mwanaume wa shoka kula, hiyo inaonekana soko la kuku hawa lipo ukizingatia upatikanaji wake...
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora
Kwanza kabisa napenda...
Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje.
Na gharama za usafirishaji zikoje ?
Naamini mko salama wakuu,
Mimi pia ni mfugaji mpya. Nimeanza na jogoo mmoja mkubwa sana, nilimnunua kama kitoweo ghafla nikaghairi tokana na ubora wa jogoo huyo, lengo la uzi huu sasa ni kuwaomba ndugu wafugaji kuniuzia mitetea kumi ya adabu ili niendelee kujikwamua.
Niko dodoma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.