Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

Mr bee94

Member
Nov 16, 2021
15
45
Habarini za muda huu wana Jf

Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada.

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar biashara hii imekuwa akilini mwangu muda mrefu Sana na natamani kuifanya naomba ushauri wale wazoefu wa hii biashara pamoja na changamoto ambazo zipo Kwa hii biashara.

Asantenii
 
Uswiss

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
834
1,000
Fanya utafiti mkuu na sio lazima ukachukue singida. Hata hapa kati kati kuanzia gairo mpaka dodoma vijijin huko kuku wapo wengi tu tena inaweza kua bei rahisi kuliko singida.. Tafuta connection tu vijijin huko..
 
Mr bee94

Member
Nov 16, 2021
15
45
Fanya utafiti mkuu na sio lazima ukachukue singida. Hata hapa kati kati kuanzia gairo mpaka dodoma vijijin huko kuku wapo wengi tu tena inaweza kua bei rahisi kuliko singida.. Tafuta connection tu vijijin huko..
Asantee Kwa ushauri mkuu
 
Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,541
2,000
Habarini za muda huu wana Jf

Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada.

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar biashara hii imekuwa akilini mwangu muda mrefu Sana na natamani kuifanya naomba ushauri wale wazoefu wa hii biashara pamoja na changamoto ambazo zipo Kwa hii biashara.

Asantenii
Mkuu umemaliza kozi gani?Chuo gani?GPA ya ngapi?Una mtaji wa kiasi gani?Malengo yako ni kutengeneza faida kiasi gani katika biashara hii ya kuku kutoka singida?
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,417
2,000
We fanya tu changamoto utakutana nazo humohumo na zitakufunza kwelikweli

Hii ni point kubwa sana akiifanyia kazi atafika mbali, na hua tunatatizo la kutofanya tafiti juu ya biashara sasa ni tatizo kwanza anatakiwa afahamu kuku wanapatikana singida sehemu gani na kwa bei gani, haya soko lake ni mahotel au masokoni je ana uhakika wa soko hapo anatakiwa yeye mwenyewe atafute soko la uhakika anapokwenda kutafuta soko asiseme ndio anaanza aseme nilikua napeleka dodoma sasa nataka kuleta huku dar ili wale wajue yeye sio mgeni wa biashara ya kuku maana wakijua ni mgeni watamsumbua kikubwa ajiamini sana, apige hesabu bei ya mzigo na bei ya sokoni je anabaki na faida hii yote afanye mwenyewe, halafu aende huko singida sasa aingie field anaweza kubeba kuku wachache wa majaribio ili ajionee na kujifunza zaidi akisubiri aelezwe changamoto hapa atakua amepotea
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,417
2,000
Mkuu umemaliza kozi gani?Chuo gani?GPA ya ngapi?Una mtaji wa kiasi gani?Malengo yako ni kutengeneza faida kiasi gani katika biashara hii ya kuku kutoka singida?

Expectation za graduate yeyote na uhalisia wa maisha ni mambo mawili tofauti yaani cheti unachopata chuoni hakikusaidii kwenye maisha halisi kitaani unatakiwa uanze nursury then ukigraduate kitaani ndio maisha yenyewe maana mtaani unatakiwa ujichanganye na watu wote isipokua usijiingize kwa wahalifu, wauza madawa yaani nikudeal na watu wa kawaida kabisa hilo la kwanza.
 
Mr bee94

Member
Nov 16, 2021
15
45
Hii ni point kubwa sana akiifanyia kazi atafika mbali, na hua tunatatizo la kutofanya tafiti juu ya biashara sasa ni tatizo kwanza anatakiwa afahamu kuku wanapatikana singida sehemu gani na kwa bei gani, haya soko lake ni mahotel au masokoni je ana uhakika wa soko hapo anatakiwa yeye mwenyewe atafute soko la uhakika anapokwenda kutafuta soko asiseme ndio anaanza aseme nilikua napeleka dodoma sasa nataka kuleta huku dar ili wale wajue yeye sio mgeni wa biashara ya kuku maana wakijua ni mgeni watamsumbua kikubwa ajiamini sana, apige hesabu bei ya mzigo na bei ya sokoni je anabaki na faida hii yote afanye mwenyewe, halafu aende huko singida sasa aingie field anaweza kubeba kuku wachache wa majaribio ili ajionee na kujifunza zaidi akisubiri aelezwe changamoto hapa atakua amepotea
Nashukuru Kwa ushauri nzuriii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom