Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

Indoraptor

JF-Expert Member
Aug 30, 2019
248
504
Habari wanajamvi,

Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
 
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
 
Mkuu kwa bei ya @ 1000 hakuna nakuhakikishia kutokana na gharama
Ila hujatoa specific age za hao vifaranga
 
Habari wanajamvi,

Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?

Akishawekwa kitu anaanza kutaga hapo hapo!
 
kwa uzoefu wangu ni wiki ya tatu huanza kutaga, kwa maana wik ya kwanza atakuwa bado anatafuta mayai yake na kama ukimtenga atakuwa anatoa ile saut kama kuku anaelalia mayai, wik ya pili atapandwa na jogoo na kutetea kama jina lake wik ya tatu anataga, wik ya 4 anaanza kulalia mayai
 
Back
Top Bottom