kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

    Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

    Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo... Mimi nilicho kiona ndio hicho hapo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  5. kabila01

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

    Habari wana JF Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line. Siku nikiwa ofisin saa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Mwanadiplomasia?

    Wapendwa nimekuwa nikilisikia mara nyingi hili neno lakini nashindwa kuelewa vema
  7. Joao de Matos

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

    Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto. Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake. Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni kutupotezea muda na wenye kujua nini kinaendelea ndani ya Simba SC tunajua kuwa hata mwakani Timu itafanya vibaya tu

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu. Chanzo: Darmpya Blog Huu Msamaha wenu utapokelewa na wana Simba SC wa hovyo, ila kwa wengine tunaona mnazidi...
  9. Kelela

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  11. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua upatikanaji wa ZTE AXON 40 Ultra na bei zake

    Kwa hapa nchini. Au mpaka kuagiza? Naona features&specifications zimenivutia. Screen kubwa 6.8 Battery kubwa 5000 (japo charger watts ndogo) Storage na RAM Muundo wake unavutia. Nn.k Sasa naomba mnijuze bei yake upatinanaji wake kwa hapa nchini
  12. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar

    Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli. Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wanajeshi wanawake wenye vyeo vya juu JWTZ

    Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali. Kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu.
  14. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kujua bei za magari haya kwenye showroom za DSM.

    Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading 1. IST. 2. Vts. 3. Toyota Altezza Gita 4. Carina TI. 5. Volts. 6. Suzuki. 7. Nadia. 8. Balloon 4. 9. Gx100 10. Corona old model. 11.Allexes. 12. Premio old model. 13. Wish. 14...
  15. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

    Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
  16. hameid nasseir

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua suluhisho la kukabiliana na kuvimba na kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba

    Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
  17. Marcellojr

    JamiiForums Tanzania Customs questions: Wandugu naombeni mwenye kujua majibu ya haya maswali anipe majibu hapa jukwaani

    1. State the conditions that must be satisfied for temporary import to be exempt from import duty 2. Explain the necessary controls customs needs to put in place when administering export process 3. Outline conditions under section 99 eaccma 2004 dealing with loading and transfer goods...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  19. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

    Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...
  20. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
Back
Top Bottom