Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu?
Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
Salaam!
Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe.
Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями?
Natanguliza shukran!
Wakuu Habari za muda huu!
Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi.
Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa.
Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
Heshima kwenu wakuu.
Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu?
Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
Wakuu,
Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe.
Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi.
Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua...
Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema.
Gesi inayochimbwa Mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania.
Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu.
Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama
Natanguliza shukrani.
Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali.
Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
Baada ya heka heka za kalenda ya FIFA kwa michezo ya mataifa mbali mbali kuisha, wiki hii ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena. Binafsi nilimisi sana soka la timu ya Yanga ya msimu huu hasa likitangazwa na Mpenja.
Nani unautaka, Bangala. Nani unautaka, 'Mwamnyeto.'Nani anautaka 'Aucho dokta...
Wasalaam wapendwa wa MMU.
Kumezuka na msemo maarufu wa vijana haswa wa kike 'unataka kuwajua maEX wangu, unataka kuwanunulia gari?'
Huu msemo una nia ya kupotosha. Zaidi, kuwatia watu katika mahusiano yatakayoandamwa na changamoto nyingi. Nakusihi, ni vema kujua historia ya mahusiano ya...
Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu.
Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa?
KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
Salaam kwenu wadau.
Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...?
NAWASILISHA.
Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu.
Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa.
Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine.
na zipo...
HABAR WADAU hope wote mpo poa
Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia...
Wakuu kwema?
Naomba mwenye kujua anijuze bei za pikipiki aina tofaut tofaut za brand ya TVS na za Brand ya Boxer Kwa DSM au Mwanza.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.