Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,008 Mar 8, 2024 #1 Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,519 Reaction score 94,158 Mar 8, 2024 #2 Kwanza ungeelezea UTT AMIS ni nini? Siyo wote wanajua hiyo kitu. Ukielezea maana yake inawezekana mtu mwingine akakupa general concept jinsi ya kujiunga kwasababu procedure ni the same.
Kwanza ungeelezea UTT AMIS ni nini? Siyo wote wanajua hiyo kitu. Ukielezea maana yake inawezekana mtu mwingine akakupa general concept jinsi ya kujiunga kwasababu procedure ni the same.