Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili.
Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025.
Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio.
Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao
Bhagosha!!!
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani.
Baada ya barua ya...
Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma.
Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
Mpo salama!
Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani.
Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri.
Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora.
Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema.
Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada...
Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu:
Itakuwa ndiyo nguzo...
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Kuna kila dalili kuwa wanachama wengi waandamizi wa Chadema wapo nyuma ya G55 ni suala la muda tu,. Chadema ipo kwenye mchakato wa kuzaa Chadema Asili. Punde Lisu ataachiwa Chadema yake anayo itaka yeye.
Kuna vitu vinachekesha.
Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁.
Na huwezi amini kuna watu wanajaa.
Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni MZIGO.
"Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari wamewasili nchini kujiunga na wachezaji wenzao kwa ajili ya maandalizi ya safari."
"Kila Mwanasimba...
Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana
Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike
Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa
Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida
Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
Habari za wakati huu wadau wa JF
Naomba kwa yeyote ambae alishawahi kufanya entrance exam kwenye chuo hiki naomba anipe muongozo na mitihani inavyokuwa
Pia kwa ambao wanasoma chuo hiki naomba mnipe dodoso kuhusu maisha ya uko , ugumu na uwepesi wa hiki chuo na n.k
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.