kujifunza

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, nielekezeni pa kujifunza kilimo cha dragon na kiwi

    Habarini ndugu zanguni! Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI. Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha mazao tajwa. Na, ninaamini, nikilitembelea shamba linakolimwa, naweza kupata ufahamu mpana zaidi...
  2. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote... Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
  3. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
  4. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa Wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao. Hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vijana tuanze kujifunza kuwekeza mapema tupate uzoefu

    Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu, maana hawana uzoefu wowote wa biashara. "The younger you start, the more successful you'll be". Kujiajiri ni jambo linalofaa na kama unatengeneza brand nzuri na huduma na bidhaa zenye ubora, utafanikiwa sana miaka 5 tu mbele...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni ujuzi gani wa kuongeza thamani ninaweza kujifunza kwa mwezi mmoja hapo Dar es Salaam, Nairobi au Kampala?

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri. Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi. Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

    Wakuu Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career. Nikaanza kufuatilia nitaanzaje? Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh! Nikawa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zimbabwe, upinzani Tanzania bado hatujifunzi?

    Uchaguzi wa karibuni kwenye mazingira kama yetu, ni huu wa juzi Zimbabwe. Waangalizi mbali mbali mbali wakiwamo SADC, Carter Center na wengine, wamelazimika kuuita kwa majina yake. Yaani kwa ufupi, wameuona siyo uchaguzi bali ni wizi wa mchana kweupe. Hapa chini ni sampuli za yale matokeo...
  9. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaodhani kuchelewa kufika mshindo ndio umwamba wana la kujifunza.

  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

    Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

    Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari. Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning. Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania

    Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI a) Muktadha wa mada na umuhimu wake: Tanzania ni nchi inayojitahidi kufikia maendeleo endelevu kwa wananchi wake. Ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tuburudike na kujifunza kwa vituko na tabia za wanyama, ndege na wadudu

    UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani. Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za wanyama tuliona pamoja na vituko vyao ambavyo huwa ni burudani kwa binadamu na watalii kutoka nje.Na vile...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza kunavyotishia mustakabali wa Taifa letu

    Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha uandikishaji wa elimu ya sekondari kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

    UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  17. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Vijana kujifunza kuhusu siasa ni muhimu sana

    Wazo hili nimelipata baada ya kupata maoni tofauti tofauti kutoka kwa baadhi ya vijana wa kitanzania tena wasomi kuhusu mchango wao katika siasa na hali halisi iliyoko kwa sasa. Inasikitisha kuona kwamba hata wenye elimu na mwanga hawana muda wala uelewa wowote, wenye chachu na hamasa ya...
  18. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jeuri ya Sisimizi: Kujifunza Kutoka kwa Wadogo Wenye Uwezo

    JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO Imendikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga makazi na kujihami. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kutoka kwao ili kupata mawazo mapya na mikakati...
  20. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali! Kuna jambo la kujifunza kutoka kwa hawa Wakenya hapa

    Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako. Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini. ☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya...
Back
Top Bottom