kujifunza

  1. JOEkizyi

    Nahitaji kujifunza saikolojia

    Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome?
  2. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  3. GoldDhahabu

    Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

    Inasemekana, kuna wakati Wakenya walikuwa wanakuja Tanzania, nafikiri Gairo, kununua viazi mviringo na kwenda kuvifsafisha, kuvigrade, na kuvifanyia packaging kisha kuvisafirisha kwenda sokoni Dubai. Inasemekana, Wakenya hua wanavifuata vitunguu Tanzania, si kwa ajili ya kuviuza Kenya, bali...
  4. The Cock

    Kwa hili linaloendelea Uganda tunalo la kujifunza!

    Ni maombi ya Shukrani, (End of Year Thanksgiving Prayers) yakiongozwa na Rais Museveni pamoja na firstlady yakifanyika Ikulu ya nchi hiyo ambapo viongozi wa dini zote wamealikwa kumshukuru Mungu na kuliombea Taifa Kwa mtazamo wangu, jambo hili ni zuri kwani katika mwaka mzima Mungu ametuepusha...
  5. DR HAYA LAND

    Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

    Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana. Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale. Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na...
  6. Ri ri

    Natafuta mahali pa kujifunza kupaka make up

    Habari zenu, natamani nipate ujuzi wa kupaka make up sababu naona nina interest na mambo ya urembo nadhani nitaexcel huko. Nahitaji mapendekezo yenu je ni wapi nitapata hayo mafunzo kwa Dar yani nikitoka hapo niwe nguli kabisa
  7. Bigmaaan

    The Advantage of being a latecomer: Yanga tunalo la kujifunza kwa Simba

    Miaka ya 2000 Mwanzoni, Mpira wa Uingereza—ligi fuatiliwa zaidi duniani—ulikuwa umetawaliwa na Klabu Mbili tu; ARSENAL na MANCHESTER UNITED. Liverpool alikuwa msindikizaji, Manchester City alikuwa bado 'chandimu'. Chelsea walikuwa na timu nzuri sana—Frank Lampard, John Terry, Joe Cole, Petr...
  8. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  9. amshapopo

    Niyaonayo kwenye familia yangu; Vijana tuna la kujifunza kwani nasi ni wazee watarajiwa. Soon tutaumbuka!

    Nisiwachoshe! Nimezaliwa kwenye familia ya pangu pakavu tia mchuzi tule. Tupo watano, wote tumesoma Hadi elimu ya juu ila wenye kazi ya uhakika wa kipato yaani ajira maalumu ni watatu. Mzee alistaafu miaka mitatu iliyopita na kufanikiwa kupata kiinua mgongo not less 50ml sasa hivi ni mwendo wa...
  10. Nyaka-One

    Hivi ni kweli wateule wa Kristo watakaa mbinguni na kujifunza hukumu ya wenye dhambi kwa miaka elfu moja (1,000) pekee yake?

    Leo nimekaa na kujiuliza. Kwa wakristo tunaambiwa baada ya Yesu kurudi na kuwachukua wateule wake hao wateule watakaa mbinguni kwa miaka 1,000 wakijifunza hukumu ya wenye dhambi. Hiyo miaka 1,000 ni sawa na masaa 8,760,000. Na katika kujifunza hiyo hukumu hao wateule watakuwa wanaangalia "video"...
  11. DR HAYA LAND

    Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

    Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako. Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu. Usikubali mtu afahamu...
  12. Hance Mtanashati

    Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
  13. T

    Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  14. Mhaya

    Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

    Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi. Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
  15. funaku

    Viongozi haswa vijana wanalo la kujifunza kutoka kwa Makonda

    Nichukue fursa hii adhimu nikiungana na watanzania kwa mamilioni waliofurahishwa na uteuzi wa Jembe na kiboko ya wahuni ndg.Paul Makonda. Hakuna atakayebisha kuwa Makonda ameonesha integrity ya hali ya juu kwani toka apumzishwe sikuwahi kumsikia akiropoka kwenye media yoyote wala kujibu matusi...
  16. matunduizi

    Mambo 05 ya kujifunza maishani kutoka kwa mitume na manabii wa uongo nchini Tanzania

    1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available). Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali. 2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
  17. Makari hodari

    Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

    Ndugu zangu tuchukue tahadhari popote pale tulipo duniani. Usimuamini mtu tena, bin-Adam tumekuwa wanyama! Chuki iliyopitiliza mwisho wake ni unyama wa kiwango cha hali ya juu. Binti mdogo, mrembo na msomi aliyekuwa akipambania anachokipenda zaidi na kuzitimiza na kuzifikia ndoto zake aliyekuwa...
  18. GoldDhahabu

    Wakenya, nielekezeni pa kujifunza kilimo cha dragon na kiwi

    Habarini ndugu zanguni! Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI. Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha mazao tajwa. Na, ninaamini, nikilitembelea shamba linakolimwa, naweza kupata ufahamu mpana zaidi...
  19. DR Mambo Jambo

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote... Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
  20. thegreat1510

    Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
Back
Top Bottom