matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri.
Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi.
Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi mmoja ikiwemo;
1. Kuongea kiingereza (sio kusoma) katikq level za kimataifa (sio hiki kiingereza changu cha kiswahili).
Nasikia kuna hayo machimbo.
2. Ujuzi wa mauzo (Sales and marketing skills).
3. Ujuzi wa kutumia vyomo vya muziki kama piano na guiter. Hii inajumuisha kuimba hymnals kwa kusoma zile notes.
4. Videography. Kuchukua na kurecord videos kwa viwango vya kimataifa ikiwemo simple video editing for social media engaging contests.
5. Public speaking advanced skills.
6. Lugha mpya Kichina au Kiarabu au kifaransa.
7. Matumizi ya artifical intelligence na mambo ya passive incomes au side hustle skills.
Na mambo mengine mazuri mazuri ya maana.
Mwenye ujuzi au connection, ili mwaka huu usipite bure. Au kama kuna kitu kingine kuzuri cha kuongezs thamani unaweza kunielekeza.