Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

leoleo-tu

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
1,264
3,508
UPDATE 3
Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na ikakupa percentage ya tasks ulizofanya:
Nimetengeneza UI pia kwa kutmia Tkinter lakini ina error nyingi so nimeamua kwanza niachane nayo.
Code:
store = []

def run_inputing():
    while True:
        option = input('Add task / View task / Delete task / Quit: ').strip().lower()

        if option == 'add task':
            print('Enter a new task')
            enter_list = input('Enter a new task here: ')
            store.append(enter_list)
    
        elif option == 'view task':
            print('Here are the to-do tasks')
            print(store)
    
        elif option == 'delete task':
            print('Remove the task that you want')
            user_option = input('Enter the position or the task you want to delete: ')

            if user_option.isdigit():
                delete_option = int(user_option)

                if delete_option < 0 or delete_option >= len(store):
                    print('Invalid selection!')
                else:
                    del store[delete_option]
            else:
                if user_option in store:
                    store.remove(user_option)
                else:
                    print('Invalid entry!')
    
        elif option == 'quit':
            return
        else:
            print('Invalid entry!')
    
        print('Updated List', store)

        choice = input('Do you want to continue? (Yes/No): ').strip().lower()
        if choice == 'yes':
            run_inputing()
        if choice == 'no':
            break
        else:
            print('Invalid entry!')

run_inputing()

def percentage_print():
    print('Tasks Done')
    item_number = len(store)
    
    do_store = []
    
    percentage = len(do_store) / len(store) * 100
    
    done_task = input('Enter task done: ')
    
    if done_task in store:
        do_store.append(done_task)
        option_add = input('Add more? (Yes/No): ').strip().lower()
        if option_add == 'yes':
            percentage_print()
        elif option_add == 'no':
                
            percentage = len(do_store) / item_number * 100
            print('The percentage of the tasks done is ', percentage)
        else:
            print('Invalid entry!')
    
percentage_print()

c

UPDATE 2
Nimeanza kusoma kuintergrate UI kwenye code zangu kwa kutumia Tkinter maana ningependa kurun navyotengeneza vikiwa na UI. Toka jana ninajaribu jaribu kubadilisha baadhi ya code nilizozichapa ziendane na UI baadhi zimerun poa baadhi ilibidi kuzibadilisha baadhi zikafail. So, ilikuwa ni try and error. Hapa nimefanikiwa kubadilisha calculator yangu kuwa na UI. Nilitaka niupload excutable file ila sijafanikiwa steps za kulibadili kuwa executable file sijaweza kuzielewa naona kichwa kimechoka ntarudia kesho. Sema hii Tkinter nayo ina changamoto kidogo sometimes inaongeza mzigo wa code na kuna muda zinachanganya. Kuna njia better ya kutengeneza interface kwa python?
Hapa kuna Screenshot ya calculator : Drone Camera dronedrake kali linux Mjamaa1
1690652148789.png

*****************************************************************************************************************
UPDATE:
Jana usiku nilichapa code za calculator. Code ya mwanzo ilikuwa user anachagua kama anataka kuadd, ku substract, kudevide, au ku multiply, so namba atakazoweka baada yapo zinakuwa calculated kutokana na alichochagua mwanzo ila mwisho inamuuliza kama anataka kuendela akijibu yes, inarudi kumuuliza add, sub, mult, div anachagua tena.
Usiku wakati nimelala nikawaza kwanini nisitengeneze code ya calculator ambayo inapokea sign za hesabu pia baadala ya kumuuliza mtumiaji mwanzoni.
So, nimeamka asubuhi nilikuwa tayari nishaifikiria, nikaamka naichapa japo nimepata changamoto mbili tatu ila imerun japo bado inakasoro moja. Ikisharun ikakuuliza kama wataka kuendela, ukajibu yes, unaendelea ila baada ya hapo haikuulizi tena: Ni wapi nimekosea? kali linux Allency Mjamaa1

CODE:

def input_figure():
number_1 = int(input('Enter number 1: '))
sign = input('Enter mathematical operation: ')
number_2 = int(input('Enter number 2: '))
return number_1, sign, number_2

def add_fun():
a, b, c = input_figure()

if b == '+':
print('sum:', a + c)
elif b == '*':
print('prod:', a * c)
elif b == '-':
print('diff:', a - c)
elif b == '/':
if c != 0:
print('div:', a / c)
else:
print('Cannot divide by zero!')
else:
print('Invalid mathematical operation!')

choice = input('Continue? (Yes/No): ').strip().lower()
if choice == 'yes':
add_fun()
else:
print('Nice day!')

add_fun()

*******************************************************************************************************************
Mimi ni mpenzi wa coding sana. Nimeamua nianze kusoma programming na nimechagua kuanza na python nipambane nayo hata mwaka mzima niifanyie kazi kabla ya kuamia kwingine baada ya kuitumia tumia.
Stratergy yangu ni kusoma kidogo kidogo na kuelewa vitu kisha kuvifanyia mazoezi. Kwa sababu nina majukumu na nakuwa busy sana, nimeamua kila siku nitatenga saa 2 hadi 3.
Leo ni siku ya tatu narudia kufanyia mazoezi niliyoyasoma kabla ya kusonga ili nijipe muda kuelewa zaidi kabla ya kuongeza mambo: Nimeandika code kadhaa ikiwa mojawapo ni hii niliyopaste hapa ambayo ni mfano tu wa kujifunza. Code ninazoandika si kutoka sehemu yoyote ila ninawaza jambo na kujaribu kuliandikia code nione kama litafanya kazi kama nilivyotaraji:
Natumai wababe humu mtanipatia mwongozo pia.

Hii ni programu, mtumiaji akifungia itamwomba user na password. Lazima username na password ifanane na hizo nilizoziweka kwenye programu (ni kwa majaribio tu najua in real life haziwezi kuwa hapo).
Kama kimoja kisipofanana itamrudisha aweke upya (nataka niendelee iwapo atajaribu mara 3 basi ijifunge kwa muda)
Akipatia, itampeleka kwenye sehemu ya kuweka matokeo. Ambapo kama average itazidi 60, itamtaja mwanafunzi kwa jina na kusema amefaulu kwa wastani husika, ikiwa chini, itamtaja kwa jina na kusema hakufaulu kwa wastani husika. Kisha itamuuliza kama anataka kuweka matokeo ya mwanafunzi mwingine, akisema ndiyo itarudia tena kumdai jina la mwanafunzi, darasa, na matokeo ya kila kipindi. Akisema hapana, basi itamwambia kwaheri na kuishia hapo.

*** Bahati mbaya nikiipost hapa inaondoa Indentation sijui shida nini naona codes zote zinaanzia kwenye level mmoja.

def welcome():
print('KARIBU KATIKA UKURASA WA MATOKEO')

def invalid():
print('UMEKOSEA! JARIBU TENA')

def login_message():
print('Inaingia...')

def credentials():
userName = 'mway09'
passWord = '1995'
return userName, passWord

def login():
welcome()
userName, passWord = credentials()

while True:
username = input('Weka jina: ')
password = input('Weka nenosiri: ')
if username == userName and password == passWord:
login_message()
break
else:
invalid()

login()

def welcome2():
print('MATOKEO PLATFORM')

def add_results():
welcome2()

while True:
std_name = input('Jina la mwanafunzi: ')
std_class = input('Darasa la mwanafunzi: ')
a = int(input('Historia: '))
b = int(input('Jiografia: '))
c = int(input('Hisabati: '))
d = int(input('Kiingereza: '))

y = a + b + c + d
average_score = y / 4

if average_score >= 60:
print(std_name + ' wa darasa la ' + std_class + ' amefaulu mtihani kwa wastani wa ' + str(average_score) + '.')
else:
print(std_name + ' wa darasa la ' + std_class + ' ameshindwa mtihani kwa wastani wa ' + str(average_score) + '.')
break
choice = input("Ungependa kuongeza mwanafunzi mwingine? (ndiyo/hapana): ").strip().lower()
if choice == "ndiyo":
add_results()
else:
print('Kwaheri!')

Kazana mkuu, lakini kwanini umechagua python?
 
Hongera, nami nauliza why python?
Asante mkuu. Miaka kadhaa nyuma nilijaribu c++. Nilikuwa sifanyi mazoezi kuna mtu alikuwa ananifunza. Hadi miez 3 inaisha sikuwa hata na uwezo wa kuandika chochote.
Python naipenda kwa sababu ya AI na pia urahisi wake na sina hakika lakini nahisi nikiimudu labda nitapata msingj wa kusoma languages zaidi

KJ07
 
Python ni very simple programming language.
I Would recommend C or C++ kama unataka kuwa coder mzuri
Mimi ningeshauri aanze na C++ kupata basics then aende kwa C# nyingine atajiongeza kadili anavyohitaji. Binafsi nilihitaji kufanya project moja kwa kutumia python ambayo sikuwa naijua kabla lakini ndani ya siku mbili nilikuwa nimeshaijua na nilipoimaliza ile project hata sina habari na hiyo python na nimeishaisahau lakini nikitaka hata leo naweza jikumbushia kama kuna ulazima
 
Asante mkuu. Miaka kadhaa nyuma nilijaribu c++. Nilikuwa sifanyi mazoezi kuna mtu alikuwa ananifunza. Hadi miez 3 inaisha sikuwa hata na uwezo wa kuandika chochote.
Python naipenda kwa sababu ya AI na pia urahisi wake na sina hakika lakini nahisi nikiimudu labda nitapata msingj wa kusoma languages zaidi

KJ07
Kweli, C ++ kama complicated hivi
 
Mimi ni mpenzi wa coding sana. Nimeamua nianze kusoma programming na nimechagua kuanza na python nipambane nayo hata mwaka mzima niifanyie kazi kabla ya kuamia kwingine baada ya kuitumia tumia.
Stratergy yangu ni kusoma kidogo kidogo na kuelewa vitu kisha kuvifanyia mazoezi. Kwa sababu nina majukumu na nakuwa busy sana, nimeamua kila siku nitatenga saa 2 hadi 3.
Leo ni siku ya tatu narudia kufanyia mazoezi niliyoyasoma kabla ya kusonga ili nijipe muda kuelewa zaidi kabla ya kuongeza mambo: Nimeandika code kadhaa ikiwa mojawapo ni hii niliyopaste hapa ambayo ni mfano tu wa kujifunza. Code ninazoandika si kutoka sehemu yoyote ila ninawaza jambo na kujaribu kuliandikia code nione kama litafanya kazi kama nilivyotaraji:
Natumai wababe humu mtanipatia mwongozo pia.

Hii ni programu, mtumiaji akifungia itamwomba user na password. Lazima username na password ifanane na hizo nilizoziweka kwenye programu (ni kwa majaribio tu najua in real life haziwezi kuwa hapo).
Kama kimoja kisipofanana itamrudisha aweke upya (nataka niendelee iwapo atajaribu mara 3 basi ijifunge kwa muda)
Akipatia, itampeleka kwenye sehemu ya kuweka matokeo. Ambapo kama average itazidi 60, itamtaja mwanafunzi kwa jina na kusema amefaulu kwa wastani husika, ikiwa chini, itamtaja kwa jina na kusema hakufaulu kwa wastani husika. Kisha itamuuliza kama anataka kuweka matokeo ya mwanafunzi mwingine, akisema ndiyo itarudia tena kumdai jina la mwanafunzi, darasa, na matokeo ya kila kipindi. Akisema hapana, basi itamwambia kwaheri na kuishia hapo.

*** Bahati mbaya nikiipost hapa inaondoa Indentation sijui shida nini naona codes zote zinaanzia kwenye level mmoja.

def welcome():
print('KARIBU KATIKA UKURASA WA MATOKEO')

def invalid():
print('UMEKOSEA! JARIBU TENA')

def login_message():
print('Inaingia...')

def credentials():
userName = 'mway09'
passWord = '1995'
return userName, passWord

def login():
welcome()
userName, passWord = credentials()

while True:
username = input('Weka jina: ')
password = input('Weka nenosiri: ')
if username == userName and password == passWord:
login_message()
break
else:
invalid()

login()

def welcome2():
print('MATOKEO PLATFORM')

def add_results():
welcome2()

while True:
std_name = input('Jina la mwanafunzi: ')
std_class = input('Darasa la mwanafunzi: ')
a = int(input('Historia: '))
b = int(input('Jiografia: '))
c = int(input('Hisabati: '))
d = int(input('Kiingereza: '))

y = a + b + c + d
average_score = y / 4

if average_score >= 60:
print(std_name + ' wa darasa la ' + std_class + ' amefaulu mtihani kwa wastani wa ' + str(average_score) + '.')
else:
print(std_name + ' wa darasa la ' + std_class + ' ameshindwa mtihani kwa wastani wa ' + str(average_score) + '.')
break
choice = input("Ungependa kuongeza mwanafunzi mwingine? (ndiyo/hapana): ").strip().lower()
if choice == "ndiyo":
add_results()
else:
print('Kwaheri!')
break

add_results()
Hongera sana, lakni kama kweli ni siku yako ya 3 basi unaiga kunya kwa tembo utapasuka msamba..

Unless tayari una background knowledge ya programming you can go ahead otherwise umeanza kujibebesha mzgo mzto mapema sana you were supposed to start with basiiiiics..

Anyways kama kweli umedhamiria nakushauri achana na python, jifunze Dart/Flutter, ni closeplatform na opensource, na kwa kuwa iko chini ya giant Google bas ina uwanja mpana sana na fanbase ya kutosha kwenye kujifunza na kupractice

With Dart unaweza kucode app ya Android ikafaa kwa iOs app, Web na PC at the very same time

Otherwise kila la kheri mkuu programming ina future nzuri sana kwenye soko la fursa na ajira

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni siku yangu ya tatu, sema nina base ya html, css nilijifundisha nikiwa form 2 kwa ajili ya kutengeneza web.
Wazo langu la kwanza nilitaka kujifunza flutter mkuu.
 
C++ ni ngumu na ukiiweza hiyo hakuna programming language itakusumbua.
Japo ni ngumu lakini languages nyingi zimetengenezwa juu ya hii foundation. Mimi nilikuja kuielewa vizuri baada ya kuwa nimejifunza vb.net. Concept nyingi nilikuwq kama nimezikariri , so nikarudi kusoma tena C++ aisee nilielewa concepts zote na nilivyorudi kufanya vp sasa nikawa naelewa nini nafanya. Ila kwa sasa nafamya C# na Database nafanya MySql na SQL ya Microsoft. Oracle I got no idea at all
 
Waungwana, kwanza hongereni.
Juzi hapa nmepewa task nijifunze hizi kitu lakini sijui hata pa kuanzia. Na sina hata background.
Ili at least nipate mwanga na nianze, mnaeza kunipa pointers?
Msaada wenu ni muhim
Mkuu umeambiwa ujifunze nini hasa? Maana programming ni uwanja mkubwa sana. Weka wazi umeambiwa ujifunze kitu gani hasa ili tujue kipi uanze nacho na uchukue uelekeo gani. In general kaanze na kujua what is programming! Namaanisha uelewe na siyo kukariri definition yake.
 
Sijaulizwa ila naomba Nijibu kwa nini python
1.Kwa sababu Ni Nyepesi Kujifunza
2.Iko Karibu na Human Language Ni rahisi Kukuelewa.
Though C language Ndo msingi
Pamoja mkuu, mimi huwa namshauri mtu language ya kujifunza baada ya kujua dhumuni la mtu husika , yaani anataka kufanya nini hasa.
 
Mkuu umeambiwa ujifunze nini hasa? Maana programming ni uwanja mkubwa sana. Weka wazi umeambiwa ujifunze kitu gani hasa ili tujue kipi uanze nacho na uchukue uelekeo gani. In general kaanze na kujua what is programming! Namaanisha uelewe na siyo kukariri definition yake.
Aisee kusema kweli mimi sijui hata kuna vitu gan huko.
Kuna mjomba wangu nlikutana nae juz kati kwenye msiba, one of the things tulibonga n hicho. Aliniambia kbsa kua unahitaji kuwa na knowledge ya IT. Then akasepa.
So nataka kupata insight nijue kuna nin
 
Mimi nililuwa nawapa watu kazi wananitengenezea website na apps,

Sasa juzi kati nikajaribu some code na withe the help ya ai nikaweza kufanya kitu kikafunguka,ishu kama kuna mtu anaweza kunielekeza jinsi ya kufanya integration na data base,nimejaribu nimeishia njiani
 
Back
Top Bottom