Jambo la kujifunza kutoka kwa Marcus Aurelius

May 30, 2023
9
15
Marcus Aurelius anasema kuwa kwenye maisha ya mafanikio hata siku moja usipuuze vitu vidodogo kwa sababu kama utakuwa mpuuziaji wa vitu hivyo vidogo basi sahau kabisa kuhusu kutimiza malengo yako.

Hii ikiwa na maana ya kuwa Marcus Aurelius anatukumbusha kuwa kila wakati tunapaswa kuthamini kila kilicho kidogo kwa sababu ndicho kitakachokutengeneza kitu kikubwa.

Kama ni fedha, usiseme fedha ndogo bali fedha hizo unazoziona ni ndogo kama utaweka umakini kuwa fedha nyingi zaidi, si kwenye fedha pekee bali kila kitu ambacho unakiona ni kidogo acha kukudharau bali wekeza nguvu na juhudi zako ili kitu hicho kiwe kikubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom