kujiajiri

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    Kwema Wakuu! Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi. Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
  2. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    Habarj wakuu Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika. Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa. Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business. Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Daraja la Saba wanaingiza mamilioni, wa Chuo Kikuu wanalaumu mitaala haiwawezeshi kujiajiri

    RC wa Dar Albert Chalamila amewashangaa watu wanaolaumu Elimu ya Chuo Kikuu Tanzania hususani graduate Kwa kulalamika na kulaumu mitaala ya Elimu na Serikali wakati Kuna mtu ana Elimu ya darasa la Saba tu anaitumia kuingiza Mamilioni Kariakoo na kwingineko. My Take: Naunga mkono...
  4. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Miliki funguo ambayo itafungua kitasa/kufuli kwa usahihi

    Tangu tunakua unaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha lakini hatuambiwi kitasa/kufuli la maisha ni kitu gani. Unakuwa bize kusaka ufunguo wakati hujui utautumia kufungulia nini. Listen, nia ya elimu ni kukusaidia kufungua mind yako. Mind ndio kitasa cha maisha! Usipokuwa na ufahamu wa kutosha...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, serikali inaweza kuwasaidia vipi vijana kujiajiri?

    Karibu mdau tujadili nafasi ya serikali katika kuwezesha vijana kujiajiri.
  6. Global Peace Foundation

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kijana asiye na kipato kushawishiwa na makundi mabaya?

    Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
  7. Little_me

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu janja ni kuona mbali

    Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha? Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga kutufunulia vitu vile ambavo tusingeweza ona kwa sababu ya giza. Siongelei kujumuisha watu wote ila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo mapya ya elimu yakayoweza kusaidia kufikia soko la ajira nchini Tanzania

    Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha. Elimu ni sekta muhimu katika kuzalisha wataalamu na wahudumu mbalimbali wenye ufanisi na stadi mbalimbali ambazo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

    Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania

    Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile: Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
  12. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kozi ya kusoma halafu baada ya kumaliza chuo isaidie kujiajiri .

    Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo sana naomba mawazo yenu wadau.
  13. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili kumuwezesha mhitimu wa chuo kujiajiri, serikali ikate asilimia 25 ya pesa yake ya kujikimu (boom) na kumlipa baada ya kuhitimu kama mtaji

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Watu wanaosema tukajiajiri ni wale ambao tayari wana Vyeo na Nafasi Serikalini: Kujiajiri kunahitaji Elimu Kubwa Kuliko ya Kukaa Ofisini

    Utangulizi Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wasomi mnapoamua kujiajiri onesheni utofauti

    Habari Wa Jamii, Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira. Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu Kuonyesha Utofauti Kwanza. Huduma kwa wateja Ziwe Nzuri Sitegemei Kuona Msosi Analeta Stresi za Ajira...
  16. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tunaamini katika kujiajiri lakini wakati huohuo tunawadharau wanaojiajiri

    Kutokana na uhaba wa ajira katika Zama hizi kumepelekea watu kuona umuhimu wa kujiajiri ili walau Maisha yaweze kusonga mbele, kwasababu uhitaji WA ajira ni mkubwa na nafasi zilizopo ni chache mno kuweza kukidhi mahitaji. Kwahiyo namna pekee ya kutatua changamoto hii ni kutafuta njia mbadala...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  20. BIG THINKER

    JamiiForums Tanzania Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Inashangaza sana mtu Kidato cha Nne umepata One au Two harafu kidato, Kidato cha Sita pia ukatusua vizuri tu harafu ukaingia chuo. Chuo unatoka na GPA ya nzuri kabisa ya kwamba masomo ya chuo ww unayaweza. Hongera! Harafu unakuja mtaani unaanza kulilia...
Back
Top Bottom