kujiajiri

  1. Altae04

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  2. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Afrika haumwandai muhitimu kujiajiri

    Mfumo wa Elimu ya Afrika tulioachiwa na Wazungu ni mfumo unaoharibu Akili na Saikolojia ya Wanafunzi. Wazungu wao wanasoma Elimu ya Maarifa na Wanasoma Future, sisi Afrika tunasoma vitu visivyo na msaada katika Maisha ya kawaida na vingi ni Past. Elimu inakufanya utegemee kuajiriwa usipoajiriwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi nilivyofanikiwa kujiajiri baada ya kumaliza chuo. Mikakakati, fursa, changamoto na ushauri

    Habari wanajamiiforum, Namshukuru Mungu na natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote maisha yangu yanaweza kuwa funzo kwenu vijana mliokosa ajira baada ya kumaliza Chuo. Mimi ni kijana niliomaliza shahada ya ualimu mwaka 2019 ambapo baada ya kumaliza Chuo na kusubiri ajira takribani mwaka mmoja...
  4. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Kama huna 'Commitment' na kazi uliyonayo, usikimbilie kujiajiri

    Siku hizi kumezuka na Motivational Speakers wenye kuwashawishi watu kuwa kazi ni Utumwa na kamwe hutokaa utajirike. Kwamba, mwajiri wako atakutumia anavyotaka na kamwe hutokaa utajirike. Muda wako unakuwa kwa ajili ya kuendelea kuneemesha muajiri wako, yeye akiendelea kutajirika huku wewe...
  5. Tyler Durden

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jifunze haya mtandaoni uweze kujiajiri na kuajiri

    Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa elimu ya juu na kati wapo mitaani wakiwa hawajui nini hatima yao. Viongozi walioshika mpini katika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Njia 3 'blogging' inanisaidia kupata kipato na jinsi inavyoweza kufanya hivyo kwako pia

    Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu, kwa namna ambayo ni chanya na hasi pia. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwaza kama chanzo cha kipato imekuwa chanzo cha kipato kwetu, na kwa hali ilivyo ya ugumu wa ajira na wahitimu kuwa wengi tumejikuta...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 3 'blogging' inanisaidia kupata kipato na inavyoweza kufanya hivyo kwako pia

    Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute...
  8. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuanza kujiajiri kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii

    Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo. Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fanya yafuatayo kwa mwanao kukabiliana na ukosefu wa ajira

    Mambo yamebadilika.dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana na sisi kama walezi au wazazi tunapaswa kuwa na mitazamo tofauti kwa watoto wetu juu ya ajira. Yafuatayo tunapaswa kufanya kwa kipindi hiki ili kuwajenga watoto wetu kuepuka janga la wasiokuwa na ajira baadaye: (1)...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya upatu ilivyo hatarishi kwa vijana na Tanzania kiujumla

    Biashara ya upatu, ni uchangishaji fedha unaoweza kuendeshwa na mtu au kampuni kwa ahadi ya kuwapatia faida kubwa baada ya kipindi kifupi. Baadhi ya makampuni hujificha katika kivuli cha kuuza bidhaa fulani na mara nyingi huwa bidhaa za afya. Mwanachama hutakiwa kutoa kiasi fulani cha fedha...
  11. M37

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na vijana wawaze kujiajiri na sio kuajiriwa

    WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NA VIJANA TUWAZE KUJIAJIRI KULIKO KUAJIRIWA. Habari za wakati huu Watanzania wenzangu. Leo nimeamua kuja kuandika chapisho hili ili kuweza kuwafungua akili wanafunzi wengi wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu wa vyuo ambao hawana ajira waliopo mtaani wanaosubiri ajira...
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unaweza kujiajiri ukiwa bado mwanafunzi kwa kutoa huduma hizi

    Kujiajiri ni kinyume cha kuajiriwa. Yani mtu kufanya kazi fulani kwalengo la kujipatia kipato, Mtu wa ngazi yeyote ya elimu anaweza kujiajiri mradi tu anaufahamu wa kile anachotaka kukifanya. Kwa hali ya kawaida iliyozoeleka katika akili za wengi ni kuwa wakati wa uanafunzi ni wakati wa...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni

    Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati ukiwatupa mkono. katika makala hii tutatalii ni kwavipi mwalimu au mtu mwenye ujuzi fulani anaweza...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Habari za vijana kujiajiri ni maneno matupu, vijana, Serikali na sekta binafsi tafuteni muarobaini wa ukosefu wa ajira

    Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili: 1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi) 2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine) Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
  15. I just ask

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma marketing course, anaweza kujiajiri vipi?

    Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
  16. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane uzoefu kuhusu kipindi baada ya kumaliza masomo, kutafuta ajira au kujiajiri

    Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na kujiajiri. Ningependa kupata maoni mbalimbali ya wadau kwa maana wanafunzi, watafuta ajira, waajiri...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sera tunayoitaka Kujiajiri katika fani uliyosomea kwa maendeleo endelevu ya sayansi na teknolojia nchini

    Katika hili lazima tuwe wawazi. Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani. Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa kuendesha bodaboda. Jamani hata serikali ina support kujiajiri kwa namna hiyo. Hii ndio sera...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kujiajiri

    Wakuu habari ya saivi? Leo nimekaa nikapata hili wazo. Asilimia 89% ya watu wanatafuta ajira humu ndani ni watu ambao wana proffesional zao nzuri. Mfano : Humu kuna Engineers, Technicians na wahasibu Sasa hivi hawa watu ( Engineer + Technician + accountant) wakiungana si wanaweza wakaunda...
  19. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani ya kujiajiri?

    Hello JF, Kwanza poleni na msiba(may he RIP) Leo ningependa kujua apart from kilimo ambacho huwa mnasema humu,Je ni maeneo gani mengine ambayo mtu anaweza kujiajiri? Hii itatoa mwanga sio tu kwa watu wanaohangaika na ajira, bali hata wanaounda mfumo wetu wa elimu,iwe kama pointer masomo gani...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Shahada gani ni nzuri kati ya hizi wakuu (Rahisi kujiajiri na kuajiriwa)?

    Habari za leo wakuu, Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya. 1. Bachelor of Commerce 2. Bachelor of Computer Applications 3. Bachelor of Commerce 4. Bachelor of Business Administration Sasa wakuu kati...
Back
Top Bottom