Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement.
Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya kurudi kijijini bila mbele wala nyuma nikaamua kujitosa jijini. Sikuwahi kukaa hapa zaidi ya mwezi.
Kuja kwangu kuligubikwa na upinzani mkubwa hasa kwa wazazi. Siku nakuja hata mzee hakuniaga. Nilikuja kujiajiri basing my self on that secondary course. Nilistruggle sana kujiestablish. Nakumbuka kuna siku hadi sina msosi. But nisingeweza kuwaambia wazazi maana they warned me already.
Kwa kuwa nilikuwa conviction kwamba nitaweza, nilijibana hivyo hivyo tu ilimradi nimudu kodi meanwhile natengeneza base ya wateja. Sikuwahi kuregister business yangu kwa kuwa nilikuwa nafanya chinichini ili niwe na base nzuri ya wateja ili nikifungua officially iboom with immediate effect.
Mzee alikuja kunitembelea. Maswali ni unafanya nini, hadi unakosa majibu. Mara kwanini usiombe kazi hapa.
Namshukuru Mungu my stubbornness inaanza kuniletea mwanga. Kwa mara ya kwanza mwezi huu nitaweza kupata monthly profit ya 1m+ . Mwezi wa nne nafungua kitaasisi changu rasmi. My projection ni nipate gross profit ya 3.6m monthly kwa kuanzia.
Nawashauri vijana wengine tunaotamani kujiajiri tusikatishwe tamaa ilimradi tuna clear vision, siyo kuingia kichwa kichwa tu. Pili unapoamua kufanya jambo sometimes inabidi kuwatoa watu kwenye mfumo wako wa kijamii maana ushauri unakuwa mwingi hadi unachanganyikiwa.
Pia jua kuwa kusota kunahusika katika kujiestablish hasa ikiwa huna financial support kubwa. Cha msingi ni resilience.
Mungu ni mwema.
NB. Pia katika utafutaji jitenge sana na mademu. Wanaobscure your focus na energy kubwa. Jiwezeshe kwanza mahusiano yatakufuata mbele kwa mbele.