kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  2. JamiiForums Tanzania Shilingi Milioni 500 Kujenga Barabara za Lami Lupembe

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami katika Jimbo la Lupembe ambapo amesema jumla ya shilingi Million 500 zimetengwa. Katimba amesema hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa ATC waja na uvumbuzi wa kujenga barabara za makaratasi, mizani isioonekana na wireless electricity

    Wanafunzi kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College ATC) wamekuja na uvumbuzi utakaotumia takataka karatasi katika ujenzi wa barabara. Haijaishia hapo tu, ila pia kutakua na mizani isioonekana chini ya izo barabara za makaratasi, na pembeni hakutakua na nguzo za kupitisha umeme...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya namna nzuri ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu

    Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja. Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa Karatu nini kimewapata hadi kuanza kujenga mabondeni?

    Nimesikitishwa sana na ninachoona mtandaoni kuhusu watu wa Karatu kukumbwa na mafuriko na nyumba zao kuzingirwa na maji. Mungu awatangulie kwenye hiki kipindi kigumu. Lakini nimeshangaa imekuwaje watu wa Karatu kuanza kujenga kwenye bwawa ambalo kila mwaka hujaa maji? Inakuwaje serikali iruhusu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kurahisisha huduma za jamii na maendeleo, serikali ichukue jukumu la kujenga minara ya mawasiliano maeneo yaliyoko mbali na miji (vijijini)

    Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Njoro, Kaloleni wavamia na kujenga juu ya mtandao wa majitaka moshi

    Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba. Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  9. JamiiForums Tanzania Naianza Safari ya kujenga na kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati (Certificate na Diploma)

    Wakuu Habari za Majukumu. Imekuwa ndoto yangu kuanzisha na Kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati,kinachotoa Elimu ya stashahada na astashahada hasa kwenye Kada ya Afya.Tayari Nina Eneo la Kutosha Kujenga Majengo.Kwa ambao tayari wanaendesha hii Shughuli nini cha kuzingatia? Sijawahi kuwa Mwalimu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Miradi Imara Kukabiliana na Majanga ya Asili: Mikakati ya Wakandarasi Kupunguza Gharama za Serikali

    Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Google Watangaza kujenga Mkonga wa Internet kuunganisha Africa na Australia. Tanzania haimo

    Wakuu nisiwachoshe.. habari ndiyo hiyo... Kufuatia ziara ya Ruto huko USA, Google wametangaza kujenga mkonga wa Internet toka Kenya kupitia Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Zimbabwe na South Africa hadi Australia huku Tanzania ikiwekwa kando. --- Today, Google announced new investments in digital...
  14. JamiiForums Tanzania Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  16. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  17. JamiiForums Tanzania Wanakijiji Waendelea Kujenga Zahanati Mpya 16 za Vijiji Vyao: Jimbo la Musoma Vijijini

    Wananchi wa Jimbo la Musoma Vijijini wanaendelea kuchangia nguvukazi, fedha taslimu na vifaa vya ujenzi kwenye miradi yao ya maendeleo inayobuniwa na kuanza kutekelezwa na wao wenyewe, ikiwemo ya ujenzi wa zahanati na shule mpya. Jimbo la Musoma Vijijini lina jumla ya Kata 21 zenye Vijiji 68 na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa Kujenga jengo zuri la abiria bandari ya Zanzibar?

    Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda boti kwenda Zanzibar ni kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Watu wanauza mpaka mayai ya kuchemsha, Karanga mbichi mpaka miguu ya kuku. Ukifika Zanzibar Sasa kwenyewe ni majanga matupu. Ukizubaa unaibiwa hapo hapo bandarini.
  19. JamiiForums Tanzania Fanya kwa kusudi na ongozwa na malengo ili kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa. Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Festo Sanga: Tutumie fedha za Migodi kujenga na kuboresha viwanja

    Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…