kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee wa Kosmos

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya mawazo katika kuweka msingi na kujenga Tanzania ya baadaye

    Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili. Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kujenga Utajiri kupitia Ardhi na Akiba

    Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye mwendelezo wa masomo ya NJIA KUMI ZA KUJENGA UTAJIRI kutoka kitabu kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES kilichoandikwa na Ken Fisher. Kwenye masomo yaliyopita tumejifunza njia nane kati ya 10 za kujenga utajiri. Kwenye somo hili tunakwenda kujifunza njia ya...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .
  4. J

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

    Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
  7. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: NHC katika Kujenga Mustakabali Endelevu

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"
  10. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Kisasa Zilizotumiwa Kujenga Burj Khalifa ndani ya Mzunguko wa Siku Tatu

    Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe. The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China kupata kandarasi ya kujenga Uwanja Mpya wa Soka Tanzania ni mwendelezo wa ushirikiano katika kuboresha miundombinu

    Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Mabati 519 Ujenzi wa Bwalo, Serikali Kujenga Mabweni Shule ya Sekondari ya Bugene - Karagwe

    BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE. Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki' - Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia "Mapitio ya mafundisho yetu ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania kwanini huwa wanachimba (kutrimu) barabara na kuyaacha mashimo kama hawana bajeti ya kujenga?Tanroad/tarura

    Naomba kuuliza tu! Hawa wenzetu huwa wanawaza kwa kutumia nini? Yaani unachimbua barabara kuweka viraka halafu unaiacha na mashiyo hayo pasipo kuyaziba inazidi kuwa mbaya zaidi unapotea! Sasa kama huna bajeti ya kujenga kwaninj huwa wanachimbua? Yaani ni sawa na mtu achimbe msingi wa nyumba...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Daraja la Mitomoni - Ruvuma

    Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini na Nyasa Mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 16 Aprili...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Zinahitajika Bilioni 500 kujenga Barabara zilizoharibiwa na Mvua za El-Nino

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dr Samia atamaliza Muda wake, Zahanati na Shule Hata Diwani anaweza kujenga, Tumuombee Aache Legasi ya uhakika 2030 sio Mbali.

    Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah. 2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo. Je tutamkumbuka kwa lipi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
Back
Top Bottom