kuiba

Kuiba (Chinese: 魁拔) or Greatbug is a 2011 Chinese animated film. It was released on July 8, 2011. The film was followed by Kuiba 2 in 2013 and Kuiba 3 in 2014, with a fourth film, Kuiba 4, scheduled for release in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

    Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Ikidaiwa mmoja wa Askari...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuwa hakuna mchawi anayeweza kuiba Bank mnajidanganya

    Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani? Je, bank zote zindiko lao ni moja? Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine? Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo. Mzee wangu anaweza kuingia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mbaroni akidaiwa kuiba transfoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za wizi na uharibifu wa miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 17, 2023, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa, amesema watuhumiwa hao wamekamatwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mkusanya Mapato wa Serikali afungwa miaka 2 kwa kuiba Tsh. Milioni 12.6

    Hukumu imetolewa katika Mahakama ya Wilaya ya Makete, dhidi ya Isaya Samwel Madoki ambaye ni mtumihsi wa Umma, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi kinyume na kifungu cha 258(1) na 270 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 mapitio ya 2019. Mahakama imethibitisha kuwa mshtakiwa...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuiba Trillion 2 halafu kesho yake unamwambia mtu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ni matusi, hii inauma sana

    Kuna wakati leo nimekaa natafakari sana jinsi tunavyobanwa katika kila angle ili tulipe kodi, hasa hasa hili suala la tozo za miamala, linaumiza sana. Halafu unakuja kuambiwa watu wanaiba pesa tulizolipa kodi, nasikia kuna hadi trillion 2 zimelambwa. Hapa nimetoka kutuma pesa haifiki hata laki...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kutokufanya kazi kwa mfumo wa kuripoti wizi, kunafanya raia wengi wapoteze fedha

    Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500. Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo...
  7. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Tumjuze Rais Samia njia wanazotumia wateule kuiba hela za Umma

    Great thinkers, Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali. Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza...
  8. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanapataga wapi ujasiri wa kuiba Mali (Fedha) za umma?. Mimi siwezi hata kuiba TSh 50/=, Not to mention billions of Tanzanians

    Thread was deleted
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnapokata umeme toeni taarifa in advance. Mafundi wenu hutumia mwanya huo kuiba mafuta ya transfoma

    Kichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi auawa madai kuiba duka la M-Pesa

    MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watiwa mbaroni kwa kuvunja ofisi ya kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme-REA

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
  12. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyoona aibu kuiba mali za Umma

    Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani. So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake so nilielewa vizuri tu kilichokua kinazungumzwa. Mtangazaji alitangaza kwamba kuna maiti ya...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jela miaka 120 kwa ubakaji, kizimbani kwa kumchoma pasi mwanae wa miaka saba na mwingine jela miaka 7 kwa kuiba toyo

  15. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  16. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Nini faida au hasara za kuiba, katika harakati za kutoka kimaisha

    Msaada jamani 🙏🙏
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wapandishwa kizimbani kwa kuvunja ofisi na kuiba Bastola za TAKUKURU

    James Alex mkazi wa Vibaoni na Ally Waziri, Mkazi wa Bomani aliyekuwa mlinzi wa ofisi, wamepandishwa Kizimbani wakikabiliwa na makosa 4 yanayohusu tukio hilo Watuhumiwa walitenda kosa hilo Novemba 30, 2022 kwa kuiba Bastola 2 zenye usajili wa CAR NO F. 40326W na Risasi 15 na nyingine yenye...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

    Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tumekwenda Marekani kufundishwa kutumia ardhi yetu kwa kilimo au kuiba teknolojia ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye bidhaa zetu!?

    Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
Back
Top Bottom