kuiba

Kuiba (Chinese: 魁拔) or Greatbug is a 2011 Chinese animated film. It was released on July 8, 2011. The film was followed by Kuiba 2 in 2013 and Kuiba 3 in 2014, with a fourth film, Kuiba 4, scheduled for release in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. DreezyD98

    Kijana aunguzwa kwa uji baada ya kodokoa maharage

    Kijana Elvis Shoo (27) mkazi wa kitongoji cha Bogini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amelazwa katika kituo cha Afya Pasua akiuguza majeraha ya moto, yaliyotokana na kuunguzwa kwa uji na shangazi yake akidaiwa kuiba maharage jikoni. Tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea Septemba 30 mwaka huu...
  2. Sildenafil Citrate

    Mama amchoma mwanaye mikono akimtuhumu kuiba sh. 250

    Mkazi wa Kijijii cha Namanjele mkoani Mtwara, Somoe Mohamed amemchoma mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano kwa madai ya kudokoa mboga na kuiba sh. 250. Akizungumza na Mwananchi kijijini hapo leo Oktoba 4, Somoe amekiri kufanya ukatili huo, akisema lengo lake lilikuwa ni kumwadhibu...
  3. Sammo Hung

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Masoud Kipanya ni miongoni mwa wachoraji katuni wanaofanya kazi nzuri hapa nchini kwetu, katuni ya Kipanya imetokea kuwavutia wengi kutokana na jinsi inavyoelimisha, kuburudisha, kuchekesha na hata kufikirisha. Nimekuwa nikifuatilia katuni ya Kipanya kwa muda mrefu ila nilichogundua ni kuwa...
  4. BARD AI

    Waliotaka kuiba kwenye ofisi za Betting Dar wafariki dunia

    Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi. Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
  5. BARD AI

    META yapigwa faini Tsh. Milioni 406.9 kwa kuiba huduma ya 'Live Streaming'

    Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la kurekebisha matatizo ya mawasiliano ya kivita. Meta walituhumiwa kutumia huduma hiyo kwenye Instagram na...
  6. Nyendo

    Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    Geita: Mke ajinyonga Kisa kushutumiwa kuiba elfu kumi ya mumewe

    Kama kawaida Geita hakupoi.. Mke ajinyonga Kisa kushutumiwa kuiba 10,000 ya mumewe👇 --- Picha: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishna Msaidizi (ACP), Henry Mwaibambe ASIA Kibishe (27) mkazi wa Kijiji cha Nyarututu, Kata ya Bwanga, wilayani Geita amekutwa amejinyonga, chanzo kikidaiwa ni...
  8. BARD AI

    Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  9. JanguKamaJangu

    Ghana: Auawa kwa kushambuliwa na Simba akidaiwa kutaka kuiba watoto wa Simba

    Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
  10. JanguKamaJangu

    Hispania: Wahalifu Wavamia nyumbani kwa Aubameyang, wampiga na kuiba vito

    Mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na wahalifu wenye silaha nyumbani kwake asubuhi ya leo Agosti 29, 2022 ikidaiwa pia wahalifu hao walimpiga mchezaji huyo. Taarifa za awali zinaeleza walikuwa wahalifu wanne wenye silaha za moto na nondo ambapo walifanikiwa kuondoka...
  11. BARD AI

    Watu wasiojulikana waiba vikombe nyumba ya Watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
  12. BARD AI

    Raia wa Ghana wadaiwa kuiba Sh 1.6 bilioni benki

    Raia wa Ghana, Valentine Zancheus (42) na Mtanzania, Fortunatus Bundala(36) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la wizi na kuingilia mifumo wa Benki ya BancABC na kujipatia na Sh1.6 bilioni mali ya benki hiyo. Washtakiwa hao wamefikishwa...
  13. Roving Journalist

    Wazazi wakamatwa kwa kuwajeruhi kwa moto watoto wao wakiwatuhumu kuiba Mahindi

    Wazazi wawili Yohana Josephat (40) na Lucia Michael (30) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu baada ya kuwajeruhi watoto wao kwa kuwachoma na moto sehemu mbalimbali za mwilini baada ya kuwatuhumu kuiba mahindi debe moja. Watuhumiwa ni Wakazi wa Kijiji cha Yitwimilaa, Kata ya Kiloleli...
  14. Nyendo

    Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  15. MakinikiA

    Tanzania tutumie ujasusi kuiba teknolojia, hakuna atakayetupatia teknolojia

    Salama wandugu, Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani. Watanzania...
  16. Suley2019

    Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  17. M

    Vibaka Iran watoboa ukuta wa benkikuiba maboksi kadhaa ya pesa

    Mzuka wanajamvi! Vibaka Tehran nchini Iran wametoboa ukuta wa benki kutokea kwenye jenho lililo karibu na benki iyo nakuiba maboksi 280 (safes) zenye pesa na Vito vya thamani. Wezi hao walichukua fursa (advantage) ya siku kuu ya siku tatu iliyokuwa ikiadhimishwa nchini Iran kufanya wizi huo...
  18. Poker

    Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

    Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu yalikuwa magumu mno yaani mnoo! Mlo ulikuwa wa shida, nyumbani tupo nyomi yakutosha na magonjwa yakawa...
  19. JET SALLI

    Kwanini CWT inatesa Waalimu na kuiba fedha zao kila uchao?

    Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii nimeambiwa na mwalimu mmoja leo hii. Mwalimu huyo amesikitika kuona kwamba pamoja na yeye kujiungana na...
  20. Papaa Mobimba

    VIDEO: Wahalifu Kenya wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki

    Wahalifu sasa wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki
Back
Top Bottom