kuiba

Kuiba (Chinese: 魁拔) or Greatbug is a 2011 Chinese animated film. It was released on July 8, 2011. The film was followed by Kuiba 2 in 2013 and Kuiba 3 in 2014, with a fourth film, Kuiba 4, scheduled for release in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

    Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu yalikuwa magumu mno yaani mnoo! Mlo ulikuwa wa shida, nyumbani tupo nyomi yakutosha na magonjwa yakawa...
  2. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatesa Waalimu na kuiba fedha zao kila uchao?

    Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii nimeambiwa na mwalimu mmoja leo hii. Mwalimu huyo amesikitika kuona kwamba pamoja na yeye kujiungana na...
  3. Papaa Mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Wahalifu Kenya wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki

    Wahalifu sasa wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

    Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi! Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za uwongo za kuhalalisha uwizi na ufisadi, mamaah! Waliowengi wako upande wa wasiompenda JPM R.I.P Enyi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mbaroni kwa kuiba bango lenye picha ya Rais Samia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika kupambia jukwaa. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Fortunatus Muslim amesema waliokamatwa Emanuel John...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

    Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyeibwa wodini baada ya kuzaliwa apatikana, akutwa amelala kwa anayetuhumiwa kumuiba

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amelipongeza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga na wananchi kwa kazi kubwa waliyoifanya kufanikiwa kupatikana kwa mtoto mchanga aliyeibiwa wodini katika Kituo cha Afya Lunguya Halmashauri ya...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Magu: Wavunja makaburi na kuiba misalaba, nondo

    Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salum Kalli amekerwa na vitendo vya baadhi ya wananchi kuvunja makaburi na kutoa vyuma chakavu kama nondo na waya na kwenda kuuza. Akiwa katika zoezi la Uzinduzi wa Anwani ya makazi Februari 20, 2022, DC Kalli ameagiza kusakwa na kutiwa nguvuni kwa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Apigiliwa misumari kwenye mti kama Yesu kwa tuhuma za kuiba redio

    Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tanga, Mwakidila: Kijana auawa baada ya kuiba Mbuzi

    Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua. Wenzake...
  11. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tutaiba kidogo mali ya umma na kutubu, kikubwa usiache alama yenye mashaka kwa Mamlaka

    Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss that you can get if the highest authority know what you have done during the process of stealing Mimi...
Back
Top Bottom