Nini faida au hasara za kuiba, katika harakati za kutoka kimaisha

Uko kwenye ngazi gani ya uwizi?
Isijekuwa ndio kwanza unasafari ndefu ya miaka kadhaa ya kuwa kazini halafu ndani ya nusu mwaka ushaanza uwizi…utakuuwawa
 
Kweli maisha yamekuwa magumu.
anyway ngoja nikae hapa naweza pata mbinu za kutoka kimaisha.
 
Kuishi na hatia
Akili daima inaamini hiki inachomiliki sio chake na sio halali yake kamwe haitoridhika mwisho unajikuta ukiishi na hofu na kuendelea Kuiba ili kumiliki vingi Kama ulinzi wa future yako na ndio muda Huo huo unajiandalia anguko lako bila kujua.
 
Wizi hauna faida yoyote, wala usiwazie
Uongo na wizi vinaenda pamoja always

Hapa huwa nasoma sana watu na mawazo yao ila kama kusaidiwa wewe umejiweka kwenye kundi baya sana ingawa umeuliza ila ni swali baya na usitegemee kupata majibu eti wizi una faida
Atakaekushauri uzuri basi nae ni mwizi

Natafuta wa kuwasaidia kila wakati au tufanye nao kazi mimi kama sleep partner ila imekuwa ngumu sana kwa nyuzi za hivi
Usiwaze mambo mabaya
 
Upo deep,

Mtoa mada msikilize huyu, chukuaga na notisi

Mwisho wa siku unajitengenezea hatari ya kupata presha visukari na madonda ya tumbo

Etc etc
 
Wizi ni kudhulumu kisicho chako,wengi wa wezi walio iba indirect ndio waliofanikiwa-kama wa Wanasiasa na Business tycoon wakubwa.

Kwa hapa Tanzaniawizi wa Inderect muulize Mwizi Mkuu Rostam Aziz atakupa Jibu.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Wizi hauna faida yoyote, wala usiwazie
Uongo na wizi vinaenda pamoja always

Hapa huwa nasoma sana watu na mawazo yao ila kama kusaidiwa wewe umejiweka kwenye kundi baya sana ingawa umeuliza ila ni swali baya na usitegemee kupata majibu eti wizi una faida
Atakaekushauri uzuri basi nae ni mwizi

Natafuta wa kuwasaidia kila wakati au tufanye nao kazi mimi kama sleep partner ila imekuwa ngumu sana kwa nyuzi za hivi
Usiwaze mambo mabaya
Kuna wengine tupo hapa bado ni waaminifu. Kama kuna chance ya kazi tupee mkuu.
 
Wizi wa level gani?
Kama ni wizi wa zaidi ya million 100 ntakuunga mkono. Ila wizi wakuiba chini ya hapo wakikudaka uozee jela
 
Back
Top Bottom