Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,886
- 155,868
Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Ndio anipurure mapato yangu wa mwaka mzima?kibubu nacho mwiguru kakiwekea makato.
Ndo ujue hata sadaka unazotoa kanisani za sh mia mia na hamsini hamsini mwisho wa mwwka haufikishi hata buku kumiNimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Umekopwa zikanunue mabehewa.Zitarudishwa na riba.Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Zingatia hili swali.Unamke?
Kaka 20% ya ninachopata, manoti mengi tu, nikajua ninaweza toka na Corolla 110 manualUlikuwa unaweka noti au coins?
Daz baba analewa Sana Double kickBasi usimalize kusoma basi usimalize kusoma
Ujue ukisoma moyo wangu unauchoma
Alihamishiwa DodomaZingatia hili swali.
Yuko DodomaUnamke?
Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Msingi wa swali lako:UCHAWI GANI.Rudia kusoma.Alihamishiwa Dodoma
Mchepuko?Yuko Dodoma