kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

    Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda. Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Unalisha familia ya Demu, vipi kuhusu yako?

    Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake? Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu. Kwa mfano Demu amekuomba 10,000 na wewe una 12,000 hakikisha unatuma 11,500 kwenu kwa Bi Mkubwa halafu Jero inayobaki...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu account ya Twitter

    Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu 😁 wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana, Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka yule jamaa akanunua sasa naona vitu vipya nimeingia vizuri sasa kimbembe kinakuja kwenye following...
  4. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA msitishwe na RC Chalamila na maagizo yake kwa Jeshi la Polisi

    Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema hivyo ni vitisho tu, kanyagieni hapo hapo msinyanyue mguu tupo pamoja na ninyi, maana hata sisi...
  5. JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

    Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia. Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?
  6. JamiiForums Tanzania Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna. Siku hizi...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pendekezo mbadala kwa hoja ya CHADEMA kuhusu usimamizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaamu wanaJF, Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take. Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii ya RC wa Simiyu kuhusu Watu 22 Waliokufa Machimbo sioni sababu ya Serikali kuhangaika nao au watu kuwalilia

    "Baada ya Juzi Wachimbaji hawa Kuingia Chini Shimoni walikuta Madini ya Dhahabu ila kukaonekana kuwa hali ya Kule chini Kimazingira haikuwa Salama hivyo walivyopanda Juu na. Kuielezea kwa Wataalamu na Viongozi ilishauriwa wasubirie Kwanza ili Kuwatengenezea Mazingira mazuri ya Kiusalama Kwao...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza hapa kuhusu kuiga mambo

    Katika kituo cha treni, kulikiwa na wahasibu watatu kila mmoja alinunua tiketi yake. Lakini waliwaona mainjinia watatu wakinunua tiketi moja tu. Ikabidi mmoja wa wahasibu awaulize, "Nyie mpo watatu mtasafirije kwa tiketi moja tu?", "Subiria utajionea mwenyewe", anajibu mmoja wa mainjinia...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

    Moja kwa moja..
  13. JamiiForums Tanzania Timu ya hamasa AFCON mnasemaje kuhusu jezi ya taifa stars?

    Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
  14. JamiiForums Tanzania FAhamu zaidi kuhusu Chanjo

    Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa na mwitikio mkubwa kutokana na kampeni zinazofanywa na serikali na wadau wa afya kuhakikisha kila...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

    Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa. Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni kama yalivyotolewa na Askofu Dr Bagonza kuhusu Miswaada mitatu na hatima ya Demokrasia Tanzania

    https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo Miswaada hiyo ni 1. Tume huru ya Uchaguzi. 2. Sheria ya Vyama vya siasa 3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.
  17. JamiiForums Tanzania Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wanaojua watufundishe kuhusu 'Cortex digital Marketing' je, ni matapeli?

    Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida. Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy wakishirikiana na makampuni mbalimbali. Wanachofanya ni ku-recruit watu kufanya kazi ya ziada binafsi...
  19. JamiiForums Tanzania TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  20. JamiiForums Tanzania Unafahamu nini kuhusu mikopo nafuu ya hazina na Stanbic Bank

    Je, ni hatua gani zinahitajika kupata mkopo wa hazina? Na vipi kuhusu mikopo ya stanbic bank nasikia riba yake ni nafuu, ikoje wadau!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…