Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!.

Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI"

Yawezekana members wenye akili nusu wakadhani uenda nimekosea kuandika ila sijakosea hata kidogo,uenda nirudie tena ili nieleweke vizuri,nimesema hivi "DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI"

Ukiangalia hiyo sentensi hapo juu ina ukubali na kanusho kwa pamoja!

Kabla sijaendelea kuandika labda tu niwakumbushe ya kwamba "HAKUNA MWANADAMU ALIYEKO CHINI YA JUA AMBAYE HANA DHAMBI"

Haya mambo mawili ndiyo yamefanya wafuasi wa dini wamekuwa kama matahira!.

Baada ya shirika la Utangazaji la Uingereza kuchapisha habari za mambo ya ovyo yaliyofanywa na jamaa mmoja aliyekuwa mtafuta pesa kutoka kwa wapumbavu wenzie aitwaye TEMITOPE BALOGUN JOSHUA Almaarufu kama TB Joshua,Limezuka kundi kubwa la jamii kutoka Afrika ambao wameenda mbali na kuwashambulia BBC kana kwamba wamekosea!.

Maswali yangu!

1.Je,umewahi kufanya utafiti wako wewe mwenyewe kumhusu TB Joshua na huduma anayotoa kuwa sahihi?,Kama sivyo kwanini ubishie evidence ambazo zimewekwa wazi na BBC.

2.Je,yale yote yalisomemwa na BBC unadhani ikawa Uongo,kwanini usitoe wewe ushahidi wako ambao utakuwa unamtetea Baba wako mtakatifu Joshua?

3.Je,ni kitu gani ambacho kinakuaminisha TB Joshua alikuwa mtumishi wa Mungu?,Kwanini usiweke wazi?

Hapa Tanzania hao wapuuzi ambao wanafanya mambo makubwa kama huyo TB Joshua wapo kibwena kila mahali!.Kitu kibaya zaidi wafuasi wa hao watu huwa wanawaamini sana kiasi kwamba hawajengi imani yao kwa Kristo bali kwa hao Watu kiasi kwamba wako radhi kuutetea uovu wa huyo mtumishi wao kwa nguvu zote!.

Wanachoshindwa kutambua ni kwamba hata huyo kiongozi wao pia ni mdhambi na anahitaji damu ya Kristo kumsafisha ili atakasike!,Bado sijajua hao wafuasi wao wanapewa kitu gani kiasi kwamba hadi wawe wakali wanapoguswa hao viongozi wao!.

Gwajima inasemekana amewahi kufufua mfu!

Kiukweli baada ya kusikia hii simulizi ya Gwajiboy Kufufua mfu nilibaki kuwasikitikia hao wafuasi wake kwasababu zifuatazo:-

1.Huyo Gwajima makaburi ya wazazi wake yapo kama yalivyo na hajawahi kuwafufua,Unadhani yeye hawapendi wazazi wake?,Kwanini asiwafufue kama anao huo uwezo?

2.Wafuasi wake pia wanayo makaburi ya wazazi wao waliokufa miaka mingi,kama anaouwezo wa kufufua wafu kwanini wafuasi wasifufuliwe wapendwa wao?,Nani asiyetaka kuwa na mpendwa wake aliyekufa?

Kwa bahati mbaya sana hao wafuasi huwa hawajiulizi haya maswali wanao wanaochoangalia ni ujinga tu!.

Huyo Gwajima aliposti clip akifanya ngono hadharani na mwanamke lakini kwasababu alifahamu wafuasi wake ni makondoo aliwadanganya siyo yeye na kusema yule alikuwa Baunsa,na ajabu ni kwamba wafuasi wake wakashangilia na kupiga makofi huku wakimpamba kwa Vigelegele!.

Baadhi ya waafrika wamefanya bara zima la Afrika (Hasa Ngozi Nyeusi) kuonekana kichwani haziko timilifu!.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=BuwarpFj8E8
 
Ukipenda kuongozwa na hisia inakua vigumu sana kuishughulisha akili Yako ifanye kazi ipasavyo katika kung'amua ukweli na uongo.
 
Wewe umefanya huo utafiti wapi na wewe kuja kuzengua kadamnasi?

Je,umewahi kufanya utafiti wako wewe mwenyewe kumhusu TB Joshua na huduma anayotoa kuwa sahihi?,Kama sivyo kwanini ubishie evidence ambazo zimewekwa wazi na BBC.

USITUCHOSHE, UNATUCHOSHA.

Historia ya BBC inaeleweka, ni madhalimu. Itoshe Historia inaonueaha Wanawake wakizungu "enthusiastically" supported, enabled, and enacted the Ideology and practice of racism, They have been guilty not only by association with white men(here BBC), but also by active participitation in and cheerleading racism around the World" Ndio uliwaona wao ndio walikuwa kimbelembele kwenye interview za mchongo zile.
 
Wewe umefanya huo utafiti wapi na wewe kuja kuzengua kadamnasi?

USITUCHOSHE, UNATUCHOSHA.

Historia ya BBC inaeleweka, ni madhalimu. Itoshe Historia inaonueaha Wanawake wakizungu "enthusiastically" supported, enabled, and enacted the Ideology and practice of racism, They have been guilty not only by association with white men(here BBC), but also by active participitation in and cheerleading racism around the World" Ndio uliwaona wao ndio walikuwa kimbelembele kwenye interview za mchongo zile.

Hivi wewe kichwani zimo kweli?,Kwani hapa tunazungumzia wanawake au upumbavu wa huyo baba yako wa Kiroho?
 
Wafuasi wa hayo madhehebu ni Misukule mkuu, hawaruhusiwi kufikiri nje ya fikra za baba mchungaji.
Kuna dawa huwa wanaowafanyia... I naitwa do as I say, wenyewe hunuiza kwamba waumini wao wafanye kama wao watakavyo, wengi huwawekea ktk maji yao ya upako, mafuta na wengine siku ya kwanza wakifika ktk hilo kanisa hupewa Chai hata kama mchana wakishakunywa basi akili zao zote wa akua wametekwa. Husemi lolote la huyo mchungaji wakakusadiki, wako tayari kufa kuliko kusemewa mchungaji/nabii wao.

Yaani chunga Sana usije tekwa na hao jamaa, mkeo au nduguyo akitekwa yoko tayari kuvunja uhusiano bora alinde jina la nabii wake.... Ukiwa na mtu wa hivyo usijisumbue kumshawishi... Bora umwombee tu Mungu afungue alikofungwa!
 
Hayo maji yanakemikali ya ku pararaizi ubongo ? Wanakuwa mental retarded?
Kama hayo maji hayaui ubongo nini kinawafanya washindwe kufikiri?
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!.

Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI"

Yawezekana members wenye akili nusu wakadhani uenda nimekosea kuandika ila sijakosea hata kidogo,uenda nirudie tena ili nieleweke vizuri,nimesema hivi "DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI"

Ukiangalia hiyo sentensi hapo juu ina ukubali na kanusho kwa pamoja!

Kabla sijaendelea kuandika labda tu niwakumbushe ya kwamba "HAKUNA MWANADAMU ALIYEKO CHINI YA JUA AMBAYE HANA DHAMBI"

Haya mambo mawili ndiyo yamefanya wafuasi wa dini wamekuwa kama matahira!.

Baada ya shirika la Utangazaji la Uingereza kuchapisha habari za mambo ya ovyo yaliyofanywa na jamaa mmoja aliyekuwa mtafuta pesa kutoka kwa wapumbavu wenzie aitwaye TEMITOPE BALOGUN JOSHUA Almaarufu kama TB Joshua,Limezuka kundi kubwa la jamii kutoka Afrika ambao wameenda mbali na kuwashambulia BBC kana kwamba wamekosea!.

Maswali yangu!

1.Je,umewahi kufanya utafiti wako wewe mwenyewe kumhusu TB Joshua na huduma anayotoa kuwa sahihi?,Kama sivyo kwanini ubishie evidence ambazo zimewekwa wazi na BBC.

2.Je,yale yote yalisomemwa na BBC unadhani ikawa Uongo,kwanini usitoe wewe ushahidi wako ambao utakuwa unamtetea Baba wako mtakatifu Joshua?

3.Je,ni kitu gani ambacho kinakuaminisha TB Joshua alikuwa mtumishi wa Mungu?,Kwanini usiweke wazi?

Hapa Tanzania hao wapuuzi ambao wanafanya mambo makubwa kama huyo TB Joshua wapo kibwena kila mahali!.Kitu kibaya zaidi wafuasi wa hao watu huwa wanawaamini sana kiasi kwamba hawajengi imani yao kwa Kristo bali kwa hao Watu kiasi kwamba wako radhi kuutetea uovu wa huyo mtumishi wao kwa nguvu zote!.

Wanachoshindwa kutambua ni kwamba hata huyo kiongozi wao pia ni mdhambi na anahitaji damu ya Kristo kumsafisha ili atakasike!,Bado sijajua hao wafuasi wao wanapewa kitu gani kiasi kwamba hadi wawe wakali wanapoguswa hao viongozi wao!.

Gwajima inasemekana amewahi kufufua mfu!

Kiukweli baada ya kusikia hii simulizi ya Gwajiboy Kufufua mfu nilibaki kuwasikitikia hao wafuasi wake kwasababu zifuatazo:-

1.Huyo Gwajima makaburi ya wazazi wake yapo kama yalivyo na hajawahi kuwafufua,Unadhani yeye hawapendi wazazi wake?,Kwanini asiwafufue kama anao huo uwezo?

2.Wafuasi wake pia wanayo makaburi ya wazazi wao waliokufa miaka mingi,kama anaouwezo wa kufufua wafu kwanini wafuasi wasifufuliwe wapendwa wao?,Nani asiyetaka kuwa na mpendwa wake aliyekufa?

Kwa bahati mbaya sana hao wafuasi huwa hawajiulizi haya maswali wanao wanaochoangalia ni ujinga tu!.

Huyo Gwajima aliposti clip akifanya ngono hadharani na mwanamke lakini kwasababu alifahamu wafuasi wake ni makondoo aliwadanganya siyo yeye na kusema yule alikuwa Baunsa,na ajabu ni kwamba wafuasi wake wakashangilia na kupiga makofi huku wakimpamba kwa Vigelegele!.

Baadhi ya waafrika wamefanya bara zima la Afrika (Hasa Ngozi Nyeusi) kuonekana kichwani haziko timilifu!.
Inawezekana taarifa ile ikawa ni kweli,

Binafsi huwa sina imani na taarifa kutoka BBC.
 
Kama taarifa gani huna imani nayo?

Imani inajengwa kwa chombo,mtu au Mungu?
Taarifa yeyote inayokuwa reported na BBC, kwangu huwa siwezi kuichukua tu kama ilivyo, maana huwa wana agenda za wazi wazi.

Swali lako la pili lina mantiki gani hadi kuhusianisha mjengo wa imani kupitia chombo, mtu na Mungu?
Sijaelewa mantiki yako hapo.
 
Agenda za waziwazi ndiyo Agenda za namna gani mkuu!?,unaweza kufafanua kidogo?

Huwezi elewa swali langu la Pili kama swali la kwanza hujalielewa!
 
Back
Top Bottom