Msaada kuhusu Alistair Group

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Habari zenu wakubwa na wadogo

Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group

Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo gani ?

Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
 
Hawa jamaa niwasumbufu na wapotezeaji mda watu sana fanya utafiti kila mwezi wanatangaza nafasi za kazi kuna tatizo kubwa kwenye hiyo kampuni baada ya kuwa na mtu wa ndani kwenye aptitude test akinipa kila majibu na bado hawakuniita ni wababaishaji hao
 
🙆🏻‍♂️
 
Habari zenu wakubwa na wadogo

Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group

Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo gani ?

Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
Habari..
Kwa experience yangu ndogo nliapply pia on September 2021 nkatumiwa aptitude nkafanya...nlitumiwa majibu kuwa nmepass aptitude ...next nilipigiwa simu on 30th December for phone interview then juzi metumiwa email kwenda for face to face interview kesho(Thursday 6th) kumeet na hiring managers...
Skuwah kutumiwa whatsap video or whatever...me process yangu imekua that way... I hope ntakua nmekupa part yamaelezo unayotafta

Email nlotumiwa nai_attach kama evidence zaidi

Screenshot_20220105-150240_1641384258357.jpg
 
View attachment 2069437
Shukrani sana kiongozi, Mungu akutangulie.
 
mr uliomba driving au?
 
Back
Top Bottom