kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri kuhusu mashine za EFD; Gharama za kununua mpya na matengenezo ni ghali sana, mamlaka zifuatilie

    Kulipa kodi ni jambo la muhimu kwa maendeleo ya nchi yeyote. Mfano barabara, vituo vya afya, miradi ya maji, madarasa, mishahara n.k. yote haya yanalipwa na kodi za Serikali na hivyo lazima tulipe kodi. Kinachonishangaza ni Makampuni yaliyopewa ruhusa na Serikali kuwauzia wafanyabiashara...
  2. Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  3. "AUCTION HOUSE JAPAN'' Naomba uzoefu wenu kuhusu huu mtandao wa kuuza magari japan

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
  4. Algophobia: Hali ya kuwa na hofu isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Mwili (Mf. Kuchomwa Sindano)

    Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano) Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
  5. T

    Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona. Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
  6. Kuhusu wapi naweza kupima kipimo cha PCR jijini Dar?

    Ningependa kujua wapi naweza pata kupima pcr?majibu yanatoka kwa mda gani nikipima?na mwisho nataka kujua gharama zake?Nahitajika kujua kwa haraka ili niweze kusafiri kwenda Rwanda alhamisi. asanteni sana
  7. N

    IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  8. B

    Unajua kwanini katika mikutano ya Rais Samia na viongozi wa dini na machinga hakuna aliyemweleza kuhusu kupanda kwa bei za vyakula?

    Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula. Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni mwepesi kurubuniwa akawa mwovu lakini aliyeshiba siku zote ukumbuka mkono uliomlisha na kuulinda...
  9. 5

    Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

    Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani??? Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo...
  10. Epuka Makosa Yafuatayo Kama Umeamua kuanza Biashara ya Cryptocurrency

    Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili ufaidike na cryptocurrency lakini kuna mambo kadhaa ya msingi unapaswa kuyafahamu Leo nitakufundisha...
  11. Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  12. Msaada kuhusu Recruitment Agencies

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao Asanteni
  13. Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina. Swali? Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima? Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani? Vipi kuhusu Wanyama wadogo...
  14. Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  15. Fahamu kuhusu Tax Overpayment-Kulipa kodi zaidi

    Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi. Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu...
  16. Ushauri kuhusu NMB

    Habari. Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale. Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata. Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form...
  17. J

    Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  18. Karibuni tujadli kuhusu zabuni

    Habari za weekend; Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku. Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha tofauti kama vile INVITATION TO TENDER,EXPRESSION OF INTERESTS,REQUEST FOR PROPOSAL,REQUEST FOR...
  19. M

    Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka. Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za kushangaza ambazo hata huzifahamu. Watu wengi huamini kwamba jua huchomoza na kuzama, yaani, mawio...
  20. Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…