kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  2. Fund man

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

    Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchi mbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya Marekani. Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya Zambia. Kwa kweli sijaelewa, naomba ufafanuzi tafadhali.
  3. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

    Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
  4. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

    Leo katika ziara yake Mkoani Mbeya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya Mafuta nchini.
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  6. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

    Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo? Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
  7. African Geek

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

    Yes
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya imani potofu kuhusu kunyonyesha

    Maziwa ya kwanza ya mama si mazuri kwa mtoto yanapaswa kumwagwa Kunyonyesha humfanya mama anenepe kupindukia Maziwa ya mama pekee hayawezi kumridhisha mtoto wa umri wa miezi 0 hadi sita. Baadhi ya vyakula si vizuri kwa wanawake wanaonyonyesha Ni lazima mtoto mchanga anywe maji mara baada ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED. Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huyu bodaboda

    .
  12. plan z

    JamiiForums Tanzania Uongo tulioaminishwa kuhusu fedha

    UONGO TULIOAMINISHWA KUHUSU FEDHA Nafahamu wengi wetu tumejaribu kwa namna mbalimbali kutafuta kanuni ya fedha. Hebu jiulize binafsi ni vitabu vingapi umesoma, semina ngapi umehudhuria, maombi mangapi umeomba, ushauri ngapi umefuata. Lakini huoni matokeo yeyote. Bado umestuck kwenye shughuli...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makamba anajiingiza kwenye majukumu ya Wizara ya Kilimo kuhusu kupanda kwa bei mbolea

    Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

    Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo. Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
  15. MOONFISH

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mateso ya UTI kwa wanaume

    Habari zenu wakuuu hope mko poa sana. Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa. Nianze moja kwa moja nimekuwa mtu wa toto mbili tatu na kujichanganya sana na wanawake, ila katika miaka ya nyuma sija...
  16. Investaa

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu "Stock Market"

    Habari wana JF! Napokea message PM kuhusu platform ya ku invest stock market kwa watanzania, platform nyingi za stock market especially US STOCKS ni kama hakuna zaidi ya TRADING212 ambayo mimi nilijiunga 2020 nilitaka kununua US STOCKS kama AAL, PK, OIL STOCKS. Ambazo zinafanya vizuri sana...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

    Watumishi mjiandae kutega sikio
  18. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kirusi mbaya zaidi wa kompyuta(ransomware)

    Ransomware ni programu (Kirusi) iliyoundwa kumnyima mtumiaji au shirika ufikiaji wa faili kwenye kompyuta yake. Kwa kuloki faili hizi kwa njia amabyo huwezi fungua na kisha kudai malipo ili uweze kufungua faili zako, wavamizi (Hackers) wa mtandao huweka mashirika katika hali ambayo kulipa fidia...
  19. Gan star

    JamiiForums Tanzania Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!! Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mwanangu

    Bila shaka Wote Mpo salama. Naomba ushauri wenu, Mwanangu kwa sasa ana miaka mitatu na nusu ila nimeamua nisimpeleke shule hizi za kawaida kusoma Darasa la kwanza Hadi la Saba na kuendelea. Nimeona ikiwezekana nimpeleke akasomee ufundi moja kwa moja Kwa vitu ambavyo ataweza kuvifanya hata...
Back
Top Bottom