kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Binafsi naungana na Huyu jamaa. 1. Mbegu za asili zimepotea. 2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu. 3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo. 4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu. 5. GMO zinashambuliwa sana na...
  2. J

    PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  3. JanguKamaJangu

    Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

    Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake. Mzozo huo umeibuka baada ya kampuni nyingi kusitisha matumizi kwenye Twitter hasa baada ya mipango ya mmiliki mpya wa...
  4. ASIWAJU

    Jamii na mtazamo hasi kuhusu kuoa/kuolewa

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa Jamii Forums mtakaopendezwa kushiriki katika huu mjadala wenye maswali/changamoto kadhaa zenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. Awali ya yote ningependa kufahamu haya kuhusu mtazamo wa jamii kuhusu kuoa au kuolewa kwa vijana wa kuanzia miaka 30 mpaka 40 na...
  5. Mwachiluwi

    Kuhusu rushwa polisi

    Salam Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za...
  6. Kipenzi Changu

    Tujadili ukweli kuhusu Stem cells(Seli Shina)

    Nimekuwa na mgonjwa wa kansa. Nikawa na jamaa akanishauri kujaribu seli shina. Nikaungwa na mtalaam. Akanidokeza vitu vizuri kiasi cha kusema baada ya mwezi atapata nafuu kubwa hata kuachana Chemotherapy hapa Ocean Road. Napata mashaka isijekuwa ni promo tu auze. Bei yake kubwa kiasi dozi ya...
  7. alex001

    Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  8. Double line

    Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  9. M

    Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  10. IamBrianLeeSnr

    Prof. Mkenda: Tuko tayari kwa mjadala wa kitaifa kuhusu Mapendekezo ya Sera ya Elimu na Mitaala

    Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya Serikali ili kupata ridhaa ya rasimu zilizoandaliwa kupelekwa kwa wadau kwa mjadala wa kitaifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa...
  11. BAKIIF Islamic

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  12. LegalGentleman

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  13. Ghost MVP

    Jifunze kuhusu utapeli mitandaoni na namna ya kuwatambua

    Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa. Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli. Namna ya...
  14. S

    Msaada kuhusu TaESA

    Habari Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ? Naomba wenye uzoefu au ambao walishapata sehemu za kujishikiza kupitia TaESA wanifumbue macho
  15. Unique Flower

    Tuheshimu dini za wenzetu

    Ni hivi, katika maisha huwezi kuisemea dini ya mwenzio anayoiamini siyo dini ili hali maisha yenyewe ndio haya. Mimi nimezaliwa katika Ukristo na ninamuamini Mungu na nivyoaminishwa kuviamini. Leo hii aje Muislamu aniambie nilipo hakunifai, huyu mtu nitamshangaa. Nimepokea Sakramenti ya chakula...
  16. Mtu wa Majira na Nyakati

    Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
  17. K

    Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  18. Analogia Malenga

    Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  19. Pac the Don

    Wengi humu tulipingwa kuhusu madhila haya

    Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi. -- “Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
  20. Abu Ubaidah Commando

    Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

Back
Top Bottom