kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abu Ubaidah Commando

    Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

  2. Nyankurungu2020

    Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

    Huyu ni Maharage. Huyu ni Byabato
  3. ommytk

    Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  4. Mfilisiti

    Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    Wakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada . Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇 1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi. 2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele. 3: Wathamini...
  5. M

    Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Asalam aleykum! Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
  6. BARD AI

    TUCTA, TUGHE waishangaa CWT kuhusu kikokotoo cha PSSSF

    Siku chache baada ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kutaka mjadala wa kikokotoo urudi upya, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema utaratibu wote ulifuatwa na suala hilo lilishafikiwa mwisho. Kauli hiyo imekuja baada mkutano ulioshirikisha CWT na Mfuko wa...
  7. Pascal Mayalla

    La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  8. Mystery

    Ni kwanini watawala wetu wa CCM "wanaweweseka" Sana kuhusu ajali iliyotokea ya Precision Air?

    Kuliitishwa kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri, kuongelea kitu kimoja pekee, ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea zaidi ya wiki moja iliyopita! Hata hivyo kilichonishangaza zaidi ni taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kumalizika kwa kikao hicho, ambapo...
  9. Nsennah

    Msaada wa kisheria kuhusu mirathi.

    Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa. Mzee huyo na mkewe baadae wakawa hawaishi pamoja kwa zaidi ya miaka 20 ingawa hawakupeana taraka. Mzee...
  10. BARD AI

    Kikao cha dharura cha Rais na Mawaziri kije na majibu haya kuhusu matukio ya ajali nchini

    Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali. Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
  11. Determinantor

    Angalizo kwa DAWASCO kuhusu Bill yangu ya Maji Oktoba na Novemba 2022

    Nisingependa tuharibu mahusiano yetu Mazuri, nasema hivi sijawahi kupata Maji yenu kwa zaidi hata tone. Wallah mkiniletea bill hata ya buku Tano tu mtaniona mkorofi. Niko Wilaya ya Kinondoni, Mabibo Mwisho.
  12. R

    Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  13. D

    Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha, Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
  14. FOX21

    Vipi kuhusu mpenzi wa shujaa Majaliwa?

    Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point! Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu mchumba wa huyu shujaa wa Tz( Majaliwa). Vipi kuhusu shemeji yetu yupo anamsaidia kuzitafuna noti...
  15. N

    Wazo langu kuhusu mabishano yasiyoisha ya Qur'an na Biblia

    Vita vya kubishania uhalali na uimara wa mistari ya kwenye hivi vitabu viwili vitakatifu imekuwa isiyo na mwisho, nimeikuta nilipozaliwa 80's na mpaka leo inaendelea. Siku za hivi karibuni na humu jf nayo imekumbwa na wimbi hilo! Katika mabishano hayo, nimegundua hayaishi leo, hayaishi kesho...
  16. Gordian Anduru

    Fahamu haya kuhusu Yanga na Kombe la Shirikisho

    Yanga ndiyo timu ya kwanza kuingia makundi Klabu Bingwa mwaka 1998 na pia timu ya kwanza kuingia makundi Kombe la Shirikisho mwaka 2016. Yanga ndiyo timu ya kwanza kufika hatua ya nane bora Kombe la Shirikisho Yanga ndiyo timu iliyoingia makundi mara nyingi Shirikisho 2016, 2018, 2022, kisha...
  17. kmbwembwe

    Kesi ya kina Mdee dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama haina tija ni ubadhilifu mwingine

    Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
  18. 44mg44

    Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

    Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu! Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu kutoka kwenye Sayari wakati Kuna grevitational force? Najaribu kujiuliza na kuchukua mfano kipande...
  19. Kalebejo

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  20. kabanga

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Habari wa ndugu, Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara. 1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa 2. Utayarishaji shamba? 3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri. 4. Kwa ekari moja inaapendekezwa miti mingapi? Na habari nyingine muhimu. karibuni
Back
Top Bottom