Msaada kuhusu Application Ajira portal

thee kid

Member
May 13, 2019
64
48
Habari ndugu zangu,

Samahani kwa kuwasumbua naombeni msaada wa kuhusu application za ajira katika mfumo wa ajira portal nilikuwa nauliza kama kuna tangazo la kazi linahitaji applicants wawe na diploma.

Je, mtu mwenye degree akijaribu kuapply nafasi hiyo hiyo inayohitaji diploma holders itakubali?
 
Habari ndugu ,
Nahitaji msaada wenu...ajira portal kila nikijaribu kusubmit yaani kuclick ile tick kwenye declaration inakataa yani HAITICK nashndwa kusubmit CV je changamoto itakuwa ni nini nakosea wapi?? Nahitaji msaada

Asante.
 
Unasubmit kwa kifaa gani simu au computer?
 
Ila kuna baadhi ya vitu wabongo tunalalamika kama vile hatuna akili au tumekatwa vichwa, unaona nafasi inamuhitaji diploma ety ww wa degree unataka hy nafasi ukiulizwa kisa nn ety degree Ni kubwa kuzidi diploma.
Wabongo acheni ujinga na hizo ni tabia za kichawi, mmebamizwa na videgree zenu mtaani huko mnakuja kuwa wachawi kwa riziki za wengine.
 
Back
Top Bottom