kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hata mkisusia Mialiko ya Hafla zetu kwa Chuki, Wakatoliki kupitia TEC msimamo Wetu kuhusu 'Wanyonyaji' DP World haujabadilika na hautabadilika Abadan

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 3,2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Mhashamu Askofu Thomas John Kiangio Kanisa Kuu la Mtakatifu Antony wa Padua, Chumbageni Mkoani Tanga. Chanzo: owm_tz Na Ibada ya Jumapili ijayo katika moja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya kozi hizi?

    "Bachelor of Arts Economics" na "Bachelor of Arts in Economis" zina tofauti gani?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mtego kwa Waziri mpya wa Ujenzi kuhusu tenda na mikataba atakayoikuta Wizarani

    Wizara ya Ujenzi ina bajeti kubwa kutokana na miradi yake mingi. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ana kazi kubwa mbele kuhusu mikataba na tenda atakazokuta wizarani. Namaanisha zile zenye harufu ya upendeleo au rushwa. Sasa itabidi achague kulindana au kutenda haki Kama mzalendo bila...
  4. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

    Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki . Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema. Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya...
  8. JamiiForums Tanzania Unaelewa Nini kuhusu hizi point?

    1. Lack of knowledge to leaders. 2. Poor governance policy in economy 3. Poor management in the system 4. Corruption 5. Woman is a tool for pleasure 6. Lack of knowledge to the community 7. Poor contract agreement between investors and the government 8. Extreme corruption among the top...
  9. JamiiForums Tanzania Karibu tuseme neno kuhusu Mungu anayeilinda na kuipenda Tanganyika na watu wake

    Habari zenu, Mungu aliyetupa utashi na fikra kama viambata vya maarifa ni wa pekee sana, nafurahi ya kwamba kizazi cha sasa cha Tanganyika ya sasa kinauelewa wa haraka sana kwenye mambo msingi hasa yenye uhitaji wa logic na reasoning. Ni Mungu huyu huyu ambae ameniwezesha kuona na kushuhudia...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mitihani mipya kwa Waziri mpya wa Nishati kuhusu tenda na mikataba atayoikuta Wizarani

    Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati. Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani. Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje? Kama kuna dalili ya kutokuwepo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  12. JamiiForums Tanzania UVCCM waweka sawa kuhusu Cheo Kipya cha Naibu Waziri Mkuu

    πŸ”° 𝗨𝗩𝗖𝗖𝗠 π—žπ—œπ—¨π—§ πŸ—“οΈ π—”π—šπ—’π—¦π—§π—œ 31, 2023 FAHAMU KUHUSIANA NA TEUZI YA NAIBU WAZIRI MKUU KIKATIBA IMEKAAJE? Reuben Paul Mboje, Mwanasheria-UVCCM KIUT Tarehe 30/08/2023 watu wanashangazwa kuona barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi inayohusu uteuzi na kuhamishwa kwa mawaziri katika nafasi walizokuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ni kama kuvunja miiko ila hakuna namna, Wazazi tutumie mbinu zipi kuwaelimisha watoto kuhusu mapenzi kuwalinda na kizazi hiki

    Kwakweli kwa tamaduni zetu hili suala limekuwa likifumbiwa macho na la kukwepa, ila angalau zamani tunapobalehe wavulana tulienda jandoni na dada zetu walienda kufundwa unyango, kwa sasa wavulana na wasichana wanakuzwa peku peku bila hizi elimu muhimu, ni jambo hatari sana. Binafsi nakumbuka...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;- "Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje? Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi...
  16. JamiiForums Tanzania Muhimu sana: Tusome na kujadili kuhusu bandari na DP World kwa namna nyingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Private Jets

    Wasalaam, Ulikuwa unafahamu hili? Duniani kote inakadiriwa ni ndege 23,241 pekee zimesajiliwa kama ndege binafsi (private jets) ambazo zinatumiwa na kumilikiwa na watu maarufu pamoja na wafanya biashara wakubwa duniani kote, huku taifa kubwa la Marekani likiwa na asilimia 63 ya sajili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ibara ya 36 inapaswa kumfunga Rais na kumpokonya mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka katika utumishi

    β€œNaibu Waziri Mkuu” Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT, alilazimika kuteua Waziri Mkuu kutoka bara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Mwl. J.K Nyerere. Katiba ilielekeza ikiwa Rais atatoka Zanzibar Waziri Mkuu atatoka Tanganyika na ndiye atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Kaka yangu amefariki last two weeks. Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani. Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…